HOJA Washereheshaji (MCs) hii tabia ya kuchukua video au picha bila idhini na kuzipost kwenye kurasa zenu mnaona ni sawa?

HOJA Washereheshaji (MCs) hii tabia ya kuchukua video au picha bila idhini na kuzipost kwenye kurasa zenu mnaona ni sawa?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

shibela

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
3,832
Reaction score
13,664
Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa?

Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipost

Nacheza ukumbini nimechangamka nimeshameza vyupa vyangu wewe unanichukua video unautangazia ulimwengu🙌🙌🙌🙌🙌

Acheni hizi mambo bhana zinaboa kishenzi!!
 
Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa? Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipost🤔🤔🤔🤔
Nacheza ukumbini nimechangamka nimeshameza vyupa vyangu wewe unanichukua video unautangazia ulimwengu🙌🙌🙌🙌🙌
Acheni hizi mambo bhana zinaboa kishenzi!!
WAFUNGULIE MASHTAKA KUPITIA SHERIA YA PERSONAL DATA PROTECTION

WATAPIGWA FAINI NA FIDIA
 
Nilimpeleka mtoto wangu kupiga picha za bday ya mwaka 1, nikakuta ile studio wamepost picha za mtoto wangu kwenye mitandao ya kijamii.
Yule kaka hatokaa kunisahau..!
Wanaboa Sana,kwa upande wangu Bora picha za kawaida,hizi za kwenye sherehe hizi🤔🤔🤔🤔🤔🤔 kama unavyojua kuna kina Sisi Huwa tunajizima data!
 
Yanaboa Sana una vibe zako linaanza kuchombeza chombeza Kumbe linakuchukua video ili baadae litangazie ulimwengu!😬😬😬😬😬
Kuna night club moja nimegida vitu vyangu , michichu miwili miwili tunacheza kizungu, nakuta picha video b mkubwa katumiwa , wanywa vyoda na walokole ni jamii ya hovyo sna
 
Back
Top Bottom