Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Wanazingua. Civil sense sisi wabongo bado ipo chini. Mtu anaona sawa tu kumpost mwingine mtandaoni bila idhini yake!! Hujakaa sawa wamekuadd kwenye group la whatsapp.
Sio kweli, mimi ni mhudhuria harusi na mchangiaji mzuri sana , hakuna mpiga kilauri atafanya huo ujinga , chunguza hili kwa kinaVyovyote vile, hata hao wanywa vinywaji vikali wanaweza kufanya hivyo, ukiwafurahisha au ukitia aibu unachukuliwa.
Yani niache kunyonya bia ni recod ujinga ! haiwezi tokeaSio kweli, mimi ni mhudhuria harusi na mchangiaji mzuri sana , hakuna mpiga kilauri atafanya huo ujinga , chunguza hili kwa kina
Wanapaswa wafundishwe maadili ya kazi hususani kuomba ridhaa ya Mteja kabla ya kufanya uamuzi huo.Nilimpeleka mtoto wangu kupiga picha za bday ya mwaka 1, nikakuta ile studio wamepost picha za mtoto wangu kwenye mitandao ya kijamii.
Yule kaka hatokaa kunisahau..!
Kisheria sio sawa, unaweza kufungua mashtaka.Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa?
Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipost
Nacheza ukumbini nimechangamka nimeshameza vyupa vyangu wewe unanichukua video unautangazia ulimwengu🙌🙌🙌🙌🙌
Acheni hizi mambo bhana zinaboa kishenzi!!
Sheria ziwekwe aise, sherehe za night zina vibes kunoma ukute umelewa kimtindo mpaka inafika asubuhi vid yako imetrend hatari, unakuta vid enyewe aibu tu kwa family🙄Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa?
Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipost
Nacheza ukumbini nimechangamka nimeshameza vyupa vyangu wewe unanichukua video unautangazia ulimwengu🙌🙌🙌🙌🙌
Acheni hizi mambo bhana zinaboa kishenzi!!
Upo mkuu ??WAFUNGULIE MASHTAKA KUPITIA SHERIA YA PERSONAL DATA PROTECTION
WATAPIGWA FAINI NA FIDIA
ni kosa kisheria kumpost mtu bila ridhaa yake na anaweza kukushitaki kupitia sheria ya makosa ya mtandao,kuna jamaa nasikia alipeleka gari garage baadae akaikuta mtandaoni kwenye page ya garage husika bila ridhaa yake aliwashitaki na wakamlipaMmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa?
Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipost
Nacheza ukumbini nimechangamka nimeshameza vyupa vyangu wewe unanichukua video unautangazia ulimwengu🙌🙌🙌🙌🙌
Acheni hizi mambo bhana zinaboa kishenzi!!
sheria zipo mbona sema watz wengi hatupendi kujifunza ata hao mamc ni wavamia fani nahisi ata hawapitii course za kazi wanazofanya na hawajui sheria,kanuni na taratibu za kazi zaoSheria ziwekwe aise, sherehe za night zina vibes kunoma ukute umelewa kimtindo mpaka inafika asubuhi vid yako imetrend hatari, unakuta vid enyewe aibu tu kwa family🙄
Unahudhuria huko ulipo, hujadhuria za mikoa mingine... Na hichi unachosema kinaweza kikawa na ukweli kwa namna hii, mlevi anapoteza umakini akilewa baadhi ya mambo hakumbuki.Sio kweli, mimi ni mhudhuria harusi na mchangiaji mzuri sana , hakuna mpiga kilauri atafanya huo ujinga , chunguza hili kwa kina
Bila kumkamata MC na kumtandika viboko hii tabia haitakomaMmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa?
Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipost
Nacheza ukumbini nimechangamka nimeshameza vyupa vyangu wewe unanichukua video unautangazia ulimwengu🙌🙌🙌🙌🙌
Acheni hizi mambo bhana zinaboa kishenzi!!
Dah umenichekesha ila kweli 😄Wanywa vyoda ndio wana tabia za kimbeya mbeya , hata bar utayakuta yanakodoa macho kama bundi kusaka umbeya tu
Hakuna mlevi atakuja kunywe harusi akatoa pesa yake akawa fala ila wapo wanywa vyoda kibao mafala wapo harusiniUnahudhuria huko ulipo, hujadhuria za mikoa mingine... Na hichi unachosema kinaweza kikawa na ukweli kwa namna hii, mlevi anapoteza umakini akilewa baadhi ya mambo hakumbuki.
Nimesema uongo? Bwashee?Dah umenichekesha ila kweli 😄
Ni kweli kabisaNimesema uongo? Bwashee?
Sasa je , wanywa vyoda wanatia aibu sana , show yao sichangii kadi kama wapoNi kweli kabisa
Yaani sitakusahau kabisa aisee!Nilimpeleka mtoto wangu kupiga picha za bday ya mwaka 1, nikakuta ile studio wamepost picha za mtoto wangu kwenye mitandao ya kijamii.
Yule kaka hatokaa kunisahau..!
Itoshe kusema umatumbi haufai katika jamii 😎.Kuna night club moja nimegida vitu vyangu , michichu miwili miwili tunacheza kizungu, nakuta picha video b mkubwa katumiwa , wanywa vyoda na walokole ni jamii ya hovyo sna