wasichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  2. W

    Marufuku waliobadilisha Jinsia kushiriki katika michezo ya wasichana na wanawake

    Rais Donald Trump amesaini rasmi amri ya kiutendaji jana, Jumatano, Februari 5, 2025, ya kupiga marufuku wanamichezo waliobadili jinsia kushiriki katika michezo ya wasichana na wanawake. Amri hiyo, inayojulikana kama "Kuwazuia Wanaume Kuingia Kwenye Michezo ya Wanawake," inawapa mashirika ya...
  3. Dar: Wasichana wawili wa miaka 16 na 12 wajiteka ili kudai pesa kutoka kwa Wazazi wao

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewashikili na kuwahoji Wasichana wawili kutoka Vijibweni, Kigamboni wenye umri wa miaka 16 na 12, kwa madai ya kutengeneza mazingira ya kujiteka ili kudai pesa kutoka kwa Wazazi wao ambapo Uchunguzi umebaini kuwa walitoweka kwa siku mbili na...
  4. Anayewahamasisha mtoe watoto English Elementary ndio huyo ana support bunge la Iraq kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa

    Mhamasishaji wenu: https://www.jamiiforums.com/threads/nasimama-na-bunge-la-iraqwi.2301833/ Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima. Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio...
  5. Mwaka jana hii ndio ilikuwa sababu ya mimi kutopata Wasichana warembo. Mwaka huu nimebadilika

    Mwaka jana nlikosa mademu wengi wakali sababu sikuwa na chambichambi, umatemate, ndarama au mkwanja. Nlikuwa wengine nawapata kwa maneno na ahadi kisha nikiwala wakiona sitimizi ndo basi wananipotezea. Mwaka huu nimebadili kabisa utaratibu. Mwaka jana nliweza angalau tabasamu nao, kula nao na...
  6. Jinsi wasichana toka umri mdogo wanafundishwa kua wanaume ni waongo pia wavulana toka umri mdogo wapaswa kufundishwa wanawake ni wanafiki na wabifsi

    Wanaume WENGI enzi hizi wanaishi kwa machungu na sonona za hali ya juu kutokana na kutowaeelewa wanawake na tabia zao halisi. Wakati wasichana wakipewa taadhari juu ya uongo wa wanaume, wavulana hukua bila taadhari yoyote wakiamini wanawake ni wema, wanakuja kugundua a awake ni wanafiki...
  7. Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na Wasichana dhidi ya Ukatili

    Leo tunahitimisha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kipindi muhimu kilichotumika kupaza sauti dhidi ya ukatili unaowaathiri mamilioni ya watu duniani, hususan wanawake na wasichana. Ukatili wa kijinsia sio tu changamoto ya mtu binafsi bali ni tatizo la kijamii linaloathiri...
  8. B

    Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

    Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa. Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM. Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha...
  9. J

    Inahusu wanawake wote siyo wasichana, tunaomba majibu

    Ukewenza ni sababu ya kuleta ushindani katika maendeleo ya familia, ushindani katika upendo kwa mume, na kutunza watoto Umoja, ushirikiano katika shida na raha, kujaliana na ku uguzana. Kama unakubaliana na hili ongezea sabubu zako, Kama unapinga hili toa sababu zako.✍️
  10. Kanisa la Anglican Church of Tanzania(ACT) nina ushauri kuhusu Shule yenu ya Wasichana Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda

    Binafsi Mimi ni kati ya wadau wa elimu katika Taifa langu la Tanzania.Napenda kutumia wasaa huu kuushauri uongozi wa juu wa kanisa la Anglikana ngazi ya Taifa kuhusu Shule ya wasichana ya Bunda girls ambayo wao ni wamiliki wakuu. 1. Eneo la Taaluma Katika eneo hili Taaluma ya Shule bado...
  11. 16 Days of Activism 2024: Ulinzi wa Wasichana na Wanawake dhidi ya Ukatili ni Jukumu letu sote, tuwalinde!

    Leo tunaanza rasmi Siku 16 za Kampeni Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia, tukiungana na dunia kuendeleza harakati za kumaliza ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. Kaulimbiu ya mwaka huu, ‘Towards Beijing +30: UNiTE to End Violence Against Women and Girls,’ inatukumbusha dhamira yetu ya kuendeleza...
  12. Mabadiliko ya Tabianchi huongeza uwezekano wa Wanawake na Wasichana kufanyiwa Ukatili wa Kingono

    Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri upatikanaji wa maji safi na ardhi yenye rutuba, rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii. Wanawake...
  13. Kuwarubuni Wasichana kwa Usafiri na Chipsi ni Ukatili wa Kijinsia na Uhalifu kama uhalifu mwingine

    Kuna baadhi ya watu wanatumia changamoto zinazowakumba watoto wa kike kujinufaisha, pasipo kujua kuwa wanatekeleza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Vishawishi kama vile vyakula (mfano chipsi), usafiri (boda boda na magari), na vingine vya aina hii vinatumika kuvutia na kudanganya watoto wa kike...
  14. Wasichana njooni hapa: Ukiwa na tabia hizi kuolewa itakuwa ngumu sana

    Siku hizi wasichana wengi wazuri au warembo, ili kuwanasa, lazima uwahonge pesa nyingi. Jamii imebadilika sana si kama zamani, ambapo mapenzi yalikuwa hayaangalii una pesa kiasi gani, mapenzi yalikuwa yanaangalia upendo wa dhati; yaani jinsi mtu anavyokupenda na malengo yake kwako. Siku hizi...
  15. Wasichana wa Kitanzania 94 waliokuwa wanaishi kinyume cha Sheria India warejeshwa Nchini

    Jumla ya Wahanga 94 wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu wamerudishwa nchini kutokea India huku Serikali ikitoa wito kwa watu wanaotaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kufuata taratibu ikiwemo kufahamu kampuni wanazoendea kufanyia kazi kama zimesajiliwa kisheria. Hayo yamesemwa na Afisa...
  16. Yaliyojificha nyuma; Kuvuja kwa video za faragha za Wasichana

    Kama imetokea kutazama moja kati ya video nyingi za utupu ambazo zimekuwa zikisambaa mitandaoni siku za hivi karibuni, hususan zile zinazohusisha chupa za soda, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuwa umetazama binti ambaye ni muhanga wa vitendo vya ulaghai unaofanywa na baadhi ya wahalifu wa...
  17. Mhandisi Zena Said afungua Kigoda cha Wasichana Zanzibar

    Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said amefungua Kigoda cha Wasichana katika Ukumbi wa Dimani Zanzibar tarehe 11 Oktoba, 2024. Jukwaa hili la Wasichana lilizungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili na jinsi ya kuzitatua ili kuweza kutumia fursa...
  18. Rais Samia: Sitaki kusikia kesi za mimba shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku msituni mimba itatokea wapi?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma, kuwajibika ipasavyo katika kutunza na kulea wanafunzi waliowekwa chini ya uangalizi wao. Akizungumza mara...
  19. Wasichana waadhibiwa.

    Korea Kaskazini inashutumiwa kuwaadhibu hadharani Wasichana wadogo na Vijana wanaotizama tamthilia au televisheni zilizopigwa marufuku Nchini humo ikiwemo televisheni za Korea Kusini, China na Mataifa ya Magharibi. Video mpya imeonesha kundi la Wasichana wadogo akiwemo Mwanafunzi mwenye umri wa...
  20. K

    Wasichana Warefu ni wazuri sana

    Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo. Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao. Hitimisho. Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu. 60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida. 72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…