Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amekosoa ahadi hewa zilizotolewa na Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan, akihimiza Mataifa kutoa fedha kwa Nchi hiyo ili kuepusha kuporomoka Uchumi
Mamilioni ya Wasichana bado wanasubiri kurejea Shule wakati vipindi kwa Wavulana...
NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.
Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda.
Sweet...
Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya jinsia ya kiume pekee.
Nyamizi ni binti kutoka katika jamii ya kisukuma, aliishi na kulelewa na...
Wafugaji ni kundi muhimu sana katika Duniani hii, bila wao hatupati nyama,maziwa,ngozi na mboleya ya samadi.
Kwa Tanzania makabila ambayo ni maarufu kwa ufugaji ni Wasukuma,wamasai,wataturu nk
lengo langu siyo kuwachafua wafugaji ila nataka jamii ifahamu kuwa kuna baadhi ya wafugaji hawajali...
Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani.
Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato cha nne aliyeshindwa Kwani wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini.
Msichana wa chuo kikuu anaamini ndo ni smartphone na kuweka bando tu kucheki sinema.
Wanajua out Mara zawadi eeeh za kitoto kabisa lakini...
Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia kudanga Dahhh inasikitisha Ongezeko la wasichana kudanga limeshamiri kwa kasi sana
Wameona kudanga ndio deal [emoji53] Wasichana wa kuanzia Age ya 18-28 iseeee wamechachuka kwenye kudanga yaani ni balaaa...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuri ya Muungano wa Tanzania (Kiitikio - wote)
Ama baada ya salamu, dhumuni la andiko hili ni kuleta hoja niliyoletewa na rafiki yangu wa kiume akiomba ushauri kwangu. Mimi kwakweli nilishindwa kumshauri vema isipokuwa kwakuwa nafahamu kuwa kuna jukwaa hapa nikaonelea...
Habari za Eid pili wandugu
Kama kawaida yangu ninapitulia ndipo jambo hunijia kama hivi halafu natafuta pakukitolea.
Nimekumbuka tu mbali kidogo miaka hiyo ya ubarubaru. Kipindi ambacho kwa bahati mbaya vijana wa kiume hukitumia ndivyo sivyo, pengine ni kwa kukosa misingi thabiti toka kwa...
Mada hapo juu yaeleweka.
Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26.
Shule nyingne zaidi...
Kila mwaka ifikapo tarehe 6, Februari dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji.
Je, unatambua wanawake na mabinti takribani milioni 7.9 wamepitia ukeketaji Tanzania?
Licha ya serikali na wadau mbalimbali kupambana vilivyo na ukeketaji, kuna maeneo bado ukeketaji dhidi ya...
Katika maisha yangu tangu utotoni hadi wakati huu wa ujana wangu nimekuwa karibu sana na mambo ya imani za kishirikina. Haimaanishi kama mimi ni mchawi wala mganga wa kienyeji ila tu ukaribu na watu wanaonizunguka unafanya niweze kushiriki mambo haya wakati mwingine kwa kupenda au kwa...
Kwa muda mrefu nimekuwa ni kijiuliza kuwa ni msichana wa namna gani ambaye naweza kufanya mahusiano naye?
Hii ni kutokana na kuchoshwa na tabia za wadada wengi ambao ukijichanganya ukafanya nao mahusiano ujuwe wazi upo kwenye tabu ukilingamisha na raha atakayokupatia pindi unapomhitaji.
Ukiwa...
Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke).
Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.