Pili Mwinyi
Katika kipindi cha kuanzia mwezi Juni wanafunzi wengi wanaojiandaa kuingia chuo kikuu wanakuwa wameshafanya mitihani yao ya kumaliza, na wengi wao wanakuwa wamepata matokeo ya mtihani. Kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo inaonekana kwamba maendeleo ya elimu kwa wanawake yanazidi...
Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee
𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚
1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga.
3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys
4. Minaeli...
Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa?
Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani...
Wanajamvi wenzangu mie hapa Jijini DSM nilihamishiwa kikazi nikitokea mkoani. Siku za mwanzoni nilikuwa napata shida barabarani. Kila msichana ninayekutana nae namuona mrembo, haswa nikifika maeneo ya Posta Mpya kule.
Basi Asubuhi kabla sijatoka Home nikawa ninatumia dakika takribani 5 za...
Wasichana hao wenye umri wa miaka 13-19 wameokolewa katika jengo Jimboni Anambra ambapo waliwekwa ili kuzaa watoto kwa ajili ya kuuzwa, mamlaka zimesema wasichana wanne kati ya hao walikuwa tayari wajawazito.
Msemaji wa polisi Torchukwu Ikenga amesema wanawashilikia watu 3 wanaotuhumiwa...
SHAKA AWASHA RASMI MTAMBO WA KUSAMBAZA MAJI PAMOJA NA KUSHIRIKI UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI YA WASICHANA .
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, leo amewasha mtambo wa maji na tone la kwanza la maji likatoka kwa wakazi wa eneo Mitwero mkoani...
Watani mpo!
Katika hali ya Kushangaza Mtu Mmoja kutoka Mkoani Kagera (kwa Watani zake Wakubwa GENTAMYCINE) kutokana na 'Upopoma' wake uliotukuka aliamua 'Kuwabaka' Wasichana Watatu kwa zamu Porini walikokuwa Wakiokota Kuni.
Watani zangu Wahaya hivi 'Uhuni' mmeutoa wapi? Mbona mnatutia sana...
Tafiti fupi ilofanyika
Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa
Mwaka 1960-1970
Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani
Mwaka 1970-1980
Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa
Mwaka 1980-2000
Kati ya wasichana...
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo:
Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya
Takwimu hizi za Wizara ya Afya kenya zinabainisha 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya (Januari...
Habari za Majukumu wanajukwaa.....
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa.
Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga...
Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉
Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha.
Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali...
Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana na kwenda kinyume na ahadi walioitoa ya kuruhusu wasichana kusoma.
Uamuzi huo uliothibitishwa na afisa wa Taliban, unarudisha nyuma juhudi za Taliban...
Umoja wa Mataifa unaoshughulika na Idadi ya Watu ‘UNFPA’ umesema wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufikisha miaka 18 hali inayowaweka katika manyanyaso na hatari ya magonjwa
Vifo vya uzazi vimetajwa kuwa vingi kwa wasichana wa umri kati ya miaka 15 hadi 19 kwa kuwa viungo vyao huwa...
Katika miongo kadhaa iliyopita, Mataifa na Jumuiya za Kimataifa zimefanya jitihada nyingi katika kuwatia moyo na kuwashirikisha Wanawake na Wasichana katika Sayansi.
Wakati ulimwengu unaendelea kukabiliana na COVID-19 na janga la Mabadiliko ya TabiaNchi, ushiriki kamili wa Wanawake na Wasichana...
Kila mwaka, maelfu ya Wanawake, Wanaume na Watoto hujikuta mikononi mwa wanaojihusisha na Biashara hii haramu katika Mataifa yao na Nje. Karibu kila Nchi duniani inaathiriwa na Biashara haramu ya usafirishaji binadamu
Kwa mujibu wa UN, Mwaka 2018 takriban wahanga 50,000 walibainika na...
Mataifa ambayo tayari yanakabiliwa na ongezeko la umasikini, ukosefu wa usawa na migogoro yanashuhudia janga la #COVID19 likitishia zaidi miaka ya maendeleo ya kukomesha ukeketaji
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF) linasema hata kabla ya COVID-19, Wasichana Milioni 68...
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema asilimia 60 ya kundi balehe la vijana wa kati ya miaka 15-24 walipima na kujua hali zao kwa mwaka 2020.
Hata hivyo, katika matokeo hayo kundi la wasichana balehe na wanawake vijana lilikuwa mara mbili au tatu ya vijana wenzao wa kiume kwenye...
R.I.P[emoji24][emoji24] inasikitisha sana
Huyu msichana anaitwa Barke, ameuliwa kifo vibaya sana anaishi llala mtaa wa utete na Pangani.
Inasemekana siku ya tukio tatehe 31, walichukuana na mwenzake wakaenda Tabata (Kitambaa cheupe) kwenye starehe zao huku wanakunywa akiwa na mwenzake na mbaba...
Kundi la Wataalamu 36 wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa limesema Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia kwa kiasi kikubwa dhidi ya Wanawake na Wasichana
Wanawake na Wasichana wamekuwa wanapinga Kanuni mbalimbali dhidi yao tangu Taliban kuchukua madaraka Agosti...
Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.