wasichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

    Nenda vyuoni IFM, CBE, TIA ukikuta binti ana futi 6 niite nikupe milioni. UDSM ukikuta futi sita ujue ni foreign student toka Rwanda, Uganda au Sudan. Uko uswazi, Buguruni, Temeke, Tandale ndio funga kazi, futi 5 kamili mwisho. Mbegu zinaharibika, tatizo nini? Asili ya mtanzania sio ufupi...
  2. Choosen85

    Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

    Wakuu people's Yale majizi 👉 kidumu Aisee nilikwenda duka moja kupata huduma nikamkuta mdada mmoja tukazungumza hapa na pale nikaomba namba basi tukaanza mawasiliano na nikamuweka wazi kwamba nimempenda na akanielewa. Akaanza kunishirikisha mambo yake kwamba alikuwa na mume wametengana sababu...
  3. G

    Kufuatia suala la RC wa Simiyu, Kuna haja ya kuangalia upya umri wa wasichana kushiriki ngono kisheria. Tutafungwa wengi.

    Watoto wa kike wa sasa hivi si sawa na zamani, macho yao yako juuu juu kama wapiga debe wa stendi. Wako kwenye sare za shule lkn mishe yao ya kingono si ya kitoto. Kwa mfano huyo msichana alikuwa anafanya nn kwenye gari ya RC manane ya usiku? Unadhani alilazimishwa kuwa humo? After all, kwenye...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Awapa Faraja Wanafunzi wa Shule Maalum ya Wasichana Sekondari ya Solya, Manyoni

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe ametembelea Shule Maalum ya Wasichana Sekondari ya Solya na kuzungumza na Wanafunzi wa kike shuleni hapo na kuwapa zawadi ya taulo za kike na vifaa vya michezo Mbunge Aysharose Mattembe amewatia moyo Wanafunzi wa kike wanaosoma katika...
  5. Miss Zomboko

    Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana?

    Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na...
  6. W

    Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

    Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu, maambukizi ya VVU kwa wasichana katika kundi hili la umri yameongezeka kutoka asilimia 14 katika kipindi cha...
  7. Miss Zomboko

    Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

    Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii. Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za...
  8. A

    DOKEZO Huku Arumeru kuna jamaa wanavamia mabweni ya Wasichana (Shule ya Sekondari ya Nshupu) na kufanya uhalifu

    Shule ya Sekondari ya Nshupu iliyopo Kijiji cha Nshupu, Wilaya ya Arumeru, Kata ya Nkoaranga Mkoani Arusha haina milango na katika baadhi ya majengo ikiwemo yale ambayo wanaishi Wanafunzi wa kike wa shule hiyo. Kutokana na hali hiyo kumekuwa na matukio ya wahalifu kuvamia na kufanya uhalifu...
  9. uhurumoja

    Kwahiyo Bakari Shime ndiye kocha pekee anajua kufundisha mpira wa wasichana Tanzania!?

    Naangalia hapa mashindano ya mashule kwa mpira wa miguu ngazi ya Afrika, Haya mashindano bila shaka yamefana sana lakini nimeona kasoro kwenye team ya Tanzania wasichana ambapo kocha ni Bakari Shime. Kwa ninavyo faham hizi team huwa shule zinashindanishwa ambapo shule mshindi inaenda na...
  10. J

    MWENYEKITI CCM MANYARA KUJENGA CHUO CHA WASICHANA.

    Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana. Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
  11. mdukuzi

    Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

    Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa. Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
  12. J

    MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana (Miaka 9-14)

    JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV? Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
  13. BARD AI

    Aprili 25: Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa Wasichana katika ICT Pia, siku hii hutumika katika kuhamasisha Wasichana na Wanawake wadogo kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia...
  14. I am Groot

    Swali kwenu wanawake na wasichana. Hivi na nyie huwa mnapata WET DREAMS kama ilivyo kwa wanaume?

    Swali la mada hii linajieleza. Naamini kila mtu anauelewa na wet dreams (ndoto nyevu) ni nini. Uzi tayari.
  15. ward41

    Tuache majivuno, dunia ina maajabu yake

    Kuna nchi niliishi hapa Africa kwa muda wa miezi kadha. Kuna vitu nilinifunza Sana kwenye ile nchi. Kwa muda nilioishi pale, sijasikia watu wakitukana. Ile nchi Ina wasichana wazuri, cha ajabu hawajivuni kutokana na uzuri wao. Hawatembei uchi, wanavaa kwa kujisitiri. Niliona wasichana...
  16. T

    Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?

    Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea. Girls wengi marafiki nakuwa nawapoteza kiivyo. Hii imekaaje wakuu
  17. C

    Vijana mkipata wasichana wanaojitambua, oeni

    Wasalaam, Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae. Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile ujana kwa kuendelea kubadili wasichana. Leo yule msichana namkumbuka sana, maana alishakufa na mpaka...
  18. M

    Nina habari njema kwa wasichana

    Inakuwaje wanajamvi. Hatimae imetimia. Practice makes perfect. After a painstaking effort, determination and genuine will six packs zimeanza kujitokeza. Nimejituma sana kufanya mazoezi na imelipa. Ninatangaza rasmi kwa madem hatimae nina six packs. Nawatangazia furaha viumbe hawa. Am...
  19. A

    Shule za serikali za wasichana Arusha

    Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha. Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha Ahsanteni
  20. mdukuzi

    Asilimia kubwa ya wasichana wa mwanza hawakumbuki namba zao za simu

    Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake. Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period? Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
Back
Top Bottom