Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza...
Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM wakicheza kwenye maji machafu.
https://www.instagram.com/reel/DFc4a3wSWhI/?igsh=OHVibDR6bDViYmU3...
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika.
Kina kitu kibaya anakilenga.
1. Mara tutatawala milele
2. Mara tutawashughulikia
3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa
4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii
Senile imbecile imeshamtembelea
Hata hao mnaowategemea kukulindeni...
Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa.
Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji.
Huwezi amini kwamba Mzee Wasira...
Binadamu yeyote ana hatua anazopitia, na watu hutofautiana namna wanavyozipitia hatua hizo na wakati wa kuzifikia.
Kuna watu huzeeka mapema na wengine huchelewa.
Lakini la muhimu zaidi ni kuwa kuna watu wanazeeka miili na mwonekano wa nje lakini akili zao hubakia kuwa Super. Mfano mzuri wa...
“Nimemuona Mzee Wasira, amekuwa Serikalini kwa zaidi ya miaka sitini sijui sabini tangu akiwa na miaka sijui ishirini mimi sijazaliwa, anataka atengeneze kwamba anataka kutengeneza kama mabishano flani na Mwenyekiti wetu wa Taifa, kwamba Wasira amshughulikia Lissu, Mzee Wasira Lissu sio saizi...
Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea.
Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma...
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.
Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti...
Sijui kwanini familia ya Mzee Wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha...
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Dodoma amesema wamempa jina la "Marugu" Makamu mwneyekiti wa CCM bara Stephen Wasira likiwa na maana ya Jemedari ama mpambanaji wa vita, aidha amesema wanamshukuru Chief Hangaya ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia...
Kama hawa ndio mboni ya CCM hadi August 2025 watabaki walamba bendela kwenye CHAMA.
Kama chama kinataka kuendelea kuongoza kifanye u-turn mapema sana.
Kilete watu wenye mchakamchaka na wanao jua kubadili hari ya hewa.
Sasa hivi CCM imepoa sana.
Hata wana CCM wenyewe wakongwe hawaelewi...
Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k
Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
Kwanini ni Wasira tena? Nadhani mnajuwa maana yakuchaguliwa mtu alie kula chumvi mingi kati kati ya familia yenye kila aina ya vipawa.....
CCM patachimbika ila kuna mzee wakuwapooza na kuwaelekeza wakati akitafuta msaidizi....
Kuna siri kubwa sana sana 😞 yakuwa wapo walio itwa ila hawakuitika na...
Mhe. Stephen Wasira anaanza kuiongoza CCM kama Makamu Mwenyekiti akiwa na umri wa miaka 80. Pengine, huu ni umri mkubwa sana kwa mtu yeyote kupewa uongozi wa juu katika chama cha siasa. Inawezekana kabisa kuwa Wasira atakuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kushika nafasi ya juu ndani...
Baada ya wazee wenye maono kama Pinda na Mama Makinda kukataa kazi ambayo itafanya historia yao iharibike ya kuwa makamu wa CCM kwenye chama ambacho kwa sasa kinategemea Polisi na usalama kushinda. CCM imemchagua mzee wasira mwenye miaka 80 na anasahau mpaka wajukuu zake majina. Kwa ufupi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.
Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.