Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.
Mitandaoni watu wote wanaonekana kutokukubaliana na Mzee Wasira 80yrs kuendelea kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Its like siyo maono ya wana CCM kuwa na viongozi hawa tena kwenye ngazi muhimu kama hizi kwani wanaleta mkwamo wa fikra kwa Gen Z ndani ya chama.
Ushukuriwe utaratibu...
JamiiCheck imefuatilia hotuba iliyotolewa na Stephen Wasira akiwa kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mkoani Mwanza tarehe 26-11-2024 ambapo mbali na mambo mengine alisema kuwa Serikali katika awamu hii sita ilinunua magari ya wagonjwa 528, lakini pia CHADEMA ilijipanga...
Mwita Waitara akiwa mbele ya Komredi Kinana ameeleza wananchi na wanachama wa CCM kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu hautakuwa na demokrasia katika jimbo lake. Wakati akiyasema hayo viongozi wa CCM wa kitaifa wameonekana kufurahia kauli hiyo na kumuunga mkono.
Katika hali...
Mzee Wasira anashangazwa na taarifa za mainjinia kukosa ajira. Wakati huo yeye mwenyewe anawahi kujiajiri bali anaishi kwa kuajiriwa toka miaka ya 1970.
Ukimuuliza kwanini amegonga kustaafu na kukaa pembeni anadai bado ana nguvu na anakubalika na watawala. Ukihoji kwa maisha yake yote ni kipi...
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni...
Wanabunda mpo tayari kuona mchuano wa watani wa jadi wawili Ester Bulaya na Stephen Masatu Wasira?
Za chini ya kapeti wababe hawa wawili wanajiandaa kurudi ulingoni 2025.
Acha zako bana👇.
Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha mivutano ya kisiasa kwa waumini na kuleta umoja.
Ameyasema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa...
Kwa mujibu wa Kanuni za Kanisa la Waadventista Wasabato, yapo mambo 13 ambayo ikibainika bila shaka kuwa umeyafanya, adhabu yake ni KUFUTWA USHIRIKA au kupewa karipio ( inategemea na situation).
Kitendo cha KUVUNJA SABATO ni miongoni mwa mambo hayo. Kanisa la Waadventista Wasabato linaamini...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais.
Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara...
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari 6 yaliyotumiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo gari ambalo lilitumika katika awamu tatu za uongozi.
Mhifadhi wa Makumbusho, Pius Gondeka amesema magari yote kila moja lina historia yake, likiwemo gari aina...
WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya...
''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na...
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.
Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki.
Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii.
Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini miaka mingi, ametumika sana Kuandika ILANI ya Chama cha CCM na anajua vyema Siasa anataka 'Wakosoaji...
LUMUMBA DAR ES SAALAM
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo 25 Mei 2021 ametembelewa na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya Taifa Ndg Steven Masato Wasira katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.