Korea Kaskazini imerusha kombora lake ambalo linaelezwa limefika katika êneo la bahari karibu na Japan, na kuzua wasiwasi wa kiusalama wa kikanda.
Msemaji wa Baraza la Usalama, Adrienne Watson amesema rais Joe Biden na washauri wake kuhusu masuala ya usalama wanathathmini hatua hiyo ya Korea...
ICC ina wasiwasi na 'vitisho' vya Urusi juu ya kibali cha Putin
Wasi wasi huo unakuja baada ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev kutishia kuipiga mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makombora ya hypersonic.
=========
The International Criminal Court (ICC) has expressed concern over...
Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Takriban 20% ya Watoto na Vijana duniani wana Tatizo la #AfyaYaAkili, ikiwa ni sababu ya Pili kwa kuchangia Vijana wenye miaka 15 hadi 29 kujiua duniani.
Pia, katika kila kundi la Watu 5 waliopo kwenye mazingira yenye Vurugu, mmojawapo anakabiliwa na...
Takriban Watu Milioni 315 sawa na 4% ya Watu Duniani kote, wanakabiliwa na Tatizo la Wasiwasi Uliopitiliza.
Mwaka 2020 pekee, 90% ya Nchi zote Duniani zilipatwa na ongezeko la 25% ya Wasiwasi Ulipitiliza, kutokana na kuibuka kwa Ugonjwa wa #UVIKO19.
Kwa mujibu wa Takwimu za Jukwaa la Uchumi...
Wakuu wa jukwaa heri ya mwaka mpya.
Mnauonaje mwendo wa Arsenal kwenye mbio za ubingwa pale EPL.
Arsenal kama utani, anakimbiza mwizi kimya kimya, ligi ilivyoanza tukasema hafiki krisimasi atakuwa kashatoka kileleni.
Krisimasi pamoja na mwaka mpya umefika, naona kasi yao inazidi...
Kikiundwa tu Kikosi Kazi cha Umafia (Michezo Michafu) ya Soka la Tanzania (Bongo) kisha Kikaaminiwa, kukawa na Usiri nina uhakika Simba SC ikizicheza Mechi Nne tu za Yanga SC ile ya Mtibwa Sugar FC, ya KMC FC, ya Namungo FC, ya Mbeya City na yetu ya Sisi na Wao huku Simba SC tukikubaliana...
Tukishinda itakuwa ni furaha kubwa kwangu, ila kwa mazingira ya huu mchezo na mikakati fulani fulani naiona ni mechi ngumu kwa Simba SC, hadi kuhisi kuwa tunaweza kutoka sare, suluhu au hata kufungwa pia na Dodoma Jiji FC kama tusipojipanga vyema ndani na nje ya uwanja.
Kwanini GENTAMYCINE nina...
Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi.
Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa.
Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
Jaji Mkuu mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wao kujiweka huru.
Amesema ucheleweshaji wa kesi zikiwamo zenye mvuto huku akiitolea mfano kesi ya wabunge- Halima Mdee na wenzake 18 wanaopinga kuvuliwa...
Habari!
Waswahili wanasema kama huwezi kuwapiga basi ungana nao ili nawe uanze kuwapiga maadui ambao awali mlikuwa marafiki.
Uza hata mashamba, achana na kufanya vitu visivyoleta tija.
Ukiingia serikalini umeula, yaani ni mwendo wa kula asali tu.
Box la peni serikalini linauzwa mpaka elfu 50...
Za saizi waheshimiwa
Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter sensa.
Leo asubuhi nimeona jamaa amemtext wife eti tukutane pale pa jana, nikamhoji wife jamaa ni nani...
Shule zimefunguliwa baada ya mapumziko ya wiki mbili kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, huku Mamlaka zikisema kwamba ratiba ya masomo haitaongezwa ili kuruhusu wanafunzi kufidia muda uliopotezwa
Wadau wamedai kuwa Ratiba inaweza kuathiriwa zaidi iwapo Mahakama ya Juu itaamuru...
Weekend nilikuwa nimekaa na washikaji zangu wanne sehemu tunakunywa pombe wote ni watumishi wizara mbalimbali na sio wenyeji wa huu Mkoa. Sasa pembeni ya ile bar alikuwepo amekaa jamaa fulani ambaye kwa maelezo ya washikaji zangu ni Kuwa jamaa ni usalama wa taifa japo mimi sina uhakika sana...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina, anayetumikia kifungo kwa tuhuma zinazodaiwa kuwa zenye msukumo wa kisiasa
Paul Rusesabagina...
Najua ujanja duniani ni mwingi Sana.
Gari la mkononi ni chombo ambacho usipokuwa makini unapigwa mchana kweupe pee.
Wengine Hadi wanaacha kuagiza Japan au uarabuni ni hofu ya kupigwa.
Mimi ni miongoni mwao. Madam hakuna kampuni nchini itayonohakikishia gari chessis namba flani IPO na mmliki...
Wapinzani wa mtawala wa North Korea ambao wengi wao wako korea ya Kusini wamekuwa wakipeleka misaada jamaa zao walioko Korea ya Kiduku kwa kutumia maputo maalum yaliyojajwa hewa ya helium. Misaada amabayo imekuwa ikipelekwa kwa njia hiyo ni pamoja na madawa, barakoa na tembe za Vitamin c...
Likiita Afrika "bara lisilo na matumaini" na kushangilia uvamizi wa Marekani nchini Iraq, jarida la The Economist la nchini Uingereza limekuwa halifichi mantiki yake ya "Eurocentrism" na "ukuu wa wazungu". Hivi karibuni, mfululizo wa ripoti zilizotolewa na jarida hilo "China barani Afrika" kwa...
Salaamm Wakuu,
Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo wanaohofu kwamba Watahamishwa. Tuisome kwa Pamoja na tutafakari, je kulikuwa na Lazima ya kutokukaa meza...