Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii.

JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea.

Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa wanatangaza utalii.
 
Tz to nigeria yaweza kuwa ni 2,6000,000 go and return, sasa watu 20 ni kama milioni 46, sasa jux imshinde hyo?
 
Back
Top Bottom