Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania, ambaye sasa anaitwa mwendazake.
Wako waliojitokeza kuomba radhi, huku wengine wakitimuliwa kwenye Chama...
Kwanini wastaafu huwa wanendelea kulipwa kila mwezi pesa kidogo kidogo baada kupewa kwa mkupuo kiasi kikubwa pindi wanapostaafu badala ya kupewa pesa zao zote ndani ya muda mfupi wa kustaafu kwao?
Hizi pesa za pensheni wanazopewa kila mwezi ni za kuganga njaa tu na huwa hawewezi kudunduliza...
Ni swala la demokrasia tu.
Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti.
CCM ingebadili utamaduni wake ili kutoa fursa kwa wastaafu kuendelea kasaidia kukiongoza chama, hii inawezekana...
Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani.
Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao.
Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli...
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu
Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.?
Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.
Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Afria kwa sababu ya kitabu cha maisha yake. Maana yake unajali MTU kuliko watu.
Rais...
Wastaafu wengi huumizwa na mafao ambayo yalilengwa kuwasaidia. Kuna mmoja alipata milioni 200, wapambe walimshauri awekeze kwenye uchimbaji mdogo wa dhahabu. Alikaa huko miezi 18. Amerudi nyumbani hana kitu bahati yake mke ni mhangaikaji ana mgahawa.
Wahanga wa matukio haya ni wengi sana...
likuwa hospitali ya Temeke. Nilimuona mama mmoja mtu mzima na ambaye aliwahi kunihudumia wakati nasoma UDSM.
Saa sita wakati natoka nikamuona bado amekaa palepale. Kumuuliza akasema alistaahafu na anamsubiri mtoto wake ili amlipie apate huduma kwani baada ya ajira alitakiwa aongeze pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.