Halafu ilikuwaje Lowassa alitembelewa Yeye kwa muda mrefu ila kwa waliofuata ( hasa wa Jana ) wametembelewa tu kwa muda mfupi mfupi na kama vile tulikuwa tunatimiza Wajibu tu?
Endeleeni na Unafiki wenu yaani Wazee wenye Hekima na wanaijua vyema nchi hii tokea Uhuru na msiowapenda mnawatembelea...
Nahisi Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar sasa Viti ni vya Moto na imebidi Wanasiasa wa Zanzibar na Kigoma tubuni Mbinu, tugawane Majukumu na kuamzisha Utaratibu wa ghafla wa Kuwatembelea Wastaafu waliotutangulia tulipo sasa maeneo ya Masaki.
Tumeingia Machi na sasa ni Novemba tayari tunaenda...
Kuna kila dalili kuwa ukishastaafu serikali haikuthamini Tena. Au hii tuiweke kuwa pengine serikali Ina Nia nzuri lakini haitaki tu kuwasikiliza Hawa wazee.
Manispaa ya Musoma Ni kielelezo Cha ulaghai na ukiukwaji wa haki za wastaafu. Wapo wastaafu tangu 2017 Hadi 2020 hawajapewa mapunjo yao...
Mbunge Mwita Getere ameitaka Serikali kutafuta Mfumo thabiti ili Wastaafu waweze kupata Fedha zao akisema "Watu wanakufa wanadai hela. Kwanini mtu ametumikia Nchi hii anakufa anadai hela?"
Ameongeza, "Suala la Wastaafu ni kero kubwa katika Nchi yetu. Serikali inatakiwa kujitahidi kwenye suala...
Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu.
Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote ya kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za...
Katika kutoa taarifa za makusanyo pale Morogoro Msemaji wa Serikali amesema Serikali kwa mwezi Septemba mwaka huu serikali imekusanya Tilion 1 na zaidi cha ajabu Wastaafu wana miezi 11 wengine 12 hawajalipwa MAFAO acha pensheni MAFAO, je, kuna ukweli wowote wa makusanyo haya au kuna kitu nyuma...
Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni.
Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea...
Mhe shimiwa Rais alisimama mwezi baada ya kuapishwa na kuahidi kuwa Serikali yake itaanza kuwalipa wastaafu wa PSSF kila mwezi ili kupunguza uwingi wa wastaafu hao na hii ndio dhamira yake, leo Msemaji wa Serikali akitoa taarifa na ufafanuzi kuhusu maswala mbali mbali Msigwa kaja na mpya anasema...
Wanabodi, tunafahamu awamu ya tano iliunganisha mifuko ya pension nchini ambapo Mfuko wa LPAF ni miongoni mwa iliyoathirika na Hilo.
Kutokana na Hali hiyo, Mfuko wa LAPF umejumuishwa katika Mfuko wa PSSF.
Mshangao wangu ni kuona watumishi wa iliyokiwa LAPF kutolipwa kwa muda mrefu wengine...
Muda usiopungua miaka kumi na hadi sasa wapo wastaafu wa Air Tanzania Company Limited wanadai mafao ya PPF sasa PSSSF hawajalipwa. Wastaafu wa ATCL wanadai haki yao kwa kuwa walikatwa kutoka katika mishahara lakini haikupelekwa PSSSF (PPF) hivyo kuwafanya waambulie mafao kidogo wakati wa...
Niwasaidie tu wanao tegemea kustaafu kuanzia mwezi huu wa 9 na kuendelea, natumai ma tamko ya Mawaziri na Marais wawili aliyepita na aliyeko madarakani mlisikia kabisa wakisema na kusisitiza watu walipwe mapema akiwemo Waziri ambaye ni mbunge wa Jimbo la Peramiho. Hakuna utekelezwaji hadi leo...
Naomba serikali kuu itupie jicho psssf Kuna shida kubwaaaaaa sasa sijui tunwalaumu bure Labda maelekezo toka ngazi za juu aya wanayofanya mtu mafao unafatilia miaka mara sijui linapotea sijui nini Daaah inatia hasira sana
Ifike mahali bora tujiulize kipi kinakwamisha wastaafu kulipwa pesa zao ina maana ni tatizo liko kwenye Kitengo au Idara gani?
Mnaonaje mstaafu si anatakiwa apewe chake alipwe mapema maisha yenyewe yako wapi ndugu viongozi?
KUTOKA KIJIWE CHA POLISI WASTAAFU..
Siyo kila nikisikiacho huwa nakiweka katika ukurasa wangu. Leo nilitembelewa na Polisi wastaafu. Wamesafiri kuja kunipa pole. Walipobisha hodi nikaweka mikono nyuma nikisubiri waweke pingu. Badala yake wakashusha kreti ya soda kunihani msiba.
Baadaye soga...
Tunapofikia umri wa kustaafu tunatakiwa kujua tumefikia ukomo wa kipindi cha kuanzisha mambo mapya na tuko kwenye kipindi cha kuishi na kuyafurahia yale tuliyoyafanya tukiwa makazini, tukiwa na nguvu, tukiwa na nguvu na umri unaoturuhusu kurekebisha makosa.
Niseme tuu kaka yangu Antony ameongea...
VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa.
Somo hilo lilipangwa lifundishwe kwa wanafunzi wa shule za awali hadi sekondari za juu...
Polisi Nchini Haiti wamesema Kikosi kilichoundwa na Wanajeshi wastaafu wa Colombia 26 na Wamarekani wawili wenye asili ya Haiti kilimuua Rais Jovenel Moïse.
Kwa mujibu wa Mamlaka, Moïse alikutwa na majeraha 12 ya risasi na alifariki dunia eneo la tukio. Mke wake aliyejeruhiwa vibaya alipelekwa...
Imekuwa ni mtindo sasa hawa wastaafu maraisi mawaziri na wengine tele ,wamezua mtindo wa kuingia katika shuguli za kiserikali eti kama wastaafu, kama tunavyojua mwaka wa 2025 CHADEMA wanaibuka kidedea katika uchaguzi wa Uraisi na kugawana wabunge katika sehemu zingine.
Je, hawa wanaojulikana...
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE
Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power
===
Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.