Kama kichwa Cha habari kinavyosema,...ntawashangaa Sana wafanyakazi watakaowapigia kura hawa viongozi wanaoendelea kuwakandamiza kwa kupigia debe ulipaji kwa njia ya kikotoo ambAcho Ni kandamizi kwa wastaafuuu..
Ndalichako nakuheshimu Sana..ila kwa hoja yako bungeni ambayo inawakandamiza...
Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
Mishahara ya watumishi ni midogo saaana kuliko huduma/jasho wanayoitoa kipindi chote Cha ujana yao. Mishahara ya watumishi haiwatoshi kuishi, kuSomesha, na kujenga nyumba. Kima Cha chini cha mfanyakazi ni shilingi 4000 kwa siku nzima wakati kule Marekani ni dollar 8 (TSH 18,400) kwa saa TU. Hii...
Wakati matukio ya watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi, gerezani yakiibua sintofahamu, Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), kimependekeza kurudishwa kwa utaratibu wa mahakama kuwa ndio chombo kitakachochunguza vifo vyote vyenye utata.
Chama hicho kimesema huko nyuma mtu akifariki gerezani, kituo...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama hicho kuacha mara moja tabia ya kuvuruga chama.
Viongozi hao wameonywa kuacha mara moja...
Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu:
i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia
ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima
iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora.
iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
Naandika mmekerekwa haswaa, serikali kupitia mfuko wa pension kwa watumishi wa umma mwezi February hawajawalipa mishahara wazee wetu kwa madai wanafanya uhakiki, sidhani km ni sahihi kutowapa haki Yao wengine wanategemea pension kujikimu mnawatesa mnoooo.
Mbaya zaidi wakija hapo mnawajibu...
Ni pendekezo tu lakini kuna hoja jadilifi ndani yake. Katiba ya sasa inasema, "Rais ataongoza Kwa miaka mitano tu (5). Lakini kama chama chake kitaamua kumpendekeza Kwa mara ya pili basi ataongoza kwa vipindi viwili yaani miaka 10" na huu ndio imekuwa "utamaduni wa CCM".
Hata hivyo, kama...
Mheshimiwa Rais.
Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu.
Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi.
Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii...
Usifanye biashara kwa hela ya kustaafu kama hujawahi fanya biashara, ili usipate magonjwa ya moyo, pressure, kupooza nk. Ni mara kumi upambane na wapangaji akishindwa lipa utasamehe ataingia mwingine, utaishi.
Mzee wangu tangu astaafu ana miaka 27 kwa afya tele, shida tu pressure ya macho...
Kwanini nguvu kubwa inatumika kutulazimisha tuvunje kanuni na katiba Kwa kututisha? awamu ya tano inamalizika 2025 ndipo tuanze awamu ya SITA.
Kanuni za kawaida za chama ni kuchukua fomu ama kutangaza nia, watu washindanishwe apatikane alie bora.
Kwa Nini Jakaya na Makamba wanataka tule...
Inashangaza sana kuona Hawa wazee ambao walikuwa wameshika nafasi za juu za uongozi wakamaliza vipindi vyao bila kuacha legacy yoyote wanatutisha na kutukemea.
Dunia inabadilika hivyo nasi inabidi tubadilike. Na ili tubadilike lazima mtazamo, mtindo na mfumo wa uongozi uende tofauti na...
Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
Wastaafu zaidi ya 5,000 Mkoani Dar es Salaam wamesema wanapata shida katika uzee wao kwani hawana elimu ya matumizi ya fedha na uwekezaji pindi wanapofikia hatua ya kustaafu na kupewa pesa nyingi ambazo wengi huwa zinachanganya.
Hata hivyo katika kikao hicho ambacho Serikali kupitia Benki ya...
Kila benki inawaita wastaafu wapitishie pensheni zao kwao kwa ahadi ya mikopo ya riba ndogo na mambo kama hayo. Uongo mtupu!
Mfano, Azania wanawadanganya watu kwa kushirikiana na PSSSF kuwarubuni kwenda kwao kwa mikopo mizuri ya riba nafuu. Ni uongo, sana sana difference ni ndogo sana, si ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.