wastaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa...
  2. K

    PSSSF ziko wapi Billion 14 za Rais Samia alizolipa kwenu kwa ajili ya Wastaafu wa ATCL

    Raisi Samia Suluhu Hassan alilipa billion 14 za mapunjo ya madai ya kustaafu waliokuwa wafanyakazi wa Air Tanzania Company Limited tarehe 27/12/2023 kwenye mfuko wa PSSSF. Hadi muda huu ni asilimia thelathini tu ya Wastaafu ndio wamelipwa wengine wanapigwa dana dana hawalipi. Hawa ni pamoja...
  3. Its Pancho

    Simba ni team au kikundi cha wastaafu?

    Wakuu naangalia marudio hapa ya mechi ya simba na prison. Naona hapa simba wamechomoa goli dakika hizi za lala salama Tukiendelea hivi chama atachomoa labda iwe mbili kwa mbili! Ila sasa huu utaratibu wa kupanga wazee kwenye team unatuumiza sana wakuu .. Hapa unakutana na mzee mwenzangu baba...
  4. Its Pancho

    Wakuu hii ndiyo Galaxy yenyewe wastaafu?

    Nimeshtuka..! Huyu si kariba na makamo ya Dr mwigulu na Majaliwa kabisa wajameni? Sasa wachezaji wenyewe ndiyo kama Hawa mtu unashindwaje kufunga hata kumi kwa bila wakuu? Kwa kuwa simba mbovu na Hawa wastaafu waliokuja kutalii ndiyo mahututi basi ikaonekana wamecheza sana? Nimeumia sana kwa...
  5. U

    Wastaafu wasirudishwe kwenye ajira

    Tunaomba kistaafu kazi kwa mujibu wa Sheria, rudi kalee wajukuu wasirudishwe au kupewa mikataba Mipya ni Kosa.
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Maimuna Pathan: Kwa Nini Serikali Isihakiki Wastaafu Wilayani Kuliko Ilivyo Sasa Kuhakikiwa Mikoani.

    Mbunge Maimuna Pathan: Kwa Nini Serikali Isihakiki Wastaafu Wilayani Kuliko Ilivyo Sasa Kuhakikiwa Mikoani. Serikali imesema Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) una mpango wa kuweka vifaa vya uhakiki vitakavyotumia alama za vidole kwenye ofisi za halmashauri ili kuhakikisha...
  7. Matulanya Mputa

    Kusini: Viongozi Wastaafu na waliopo madarakani wanahujumu zao la korosho

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru. Lakini leo zao la korosho kwao limekuwa mwiba mchungu hasa kwa wakulima hawa,80% ya mikoa hiyo ni wakulima hasa wa korosho na ndiyo...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Bahati Ndingo Aiomba Serikali Kuwalipa Wazee Wastaafu wa NARCO Mbarali

    "Je, lini Serikali itawalipa mafao wastaafu wa shamba la Kapunga Wilayani Mbarali lililokuwa linamilikuwa na NARCO? - Mhe. Bahati Ndingo, Mbunge wa Jimbo la Mbarali "Wakati wa ubinafsishaji kati ya mwaka 2003 na 2004 Serikali ililipa mafao ya wastaafu wote wa shamba la Kapunga isipokuwa mafao...
  9. LAZIMA NISEME

    Kwanini viongozi wastaafu zanzibar wamesusia sherehe za miaka 60 ya mapinduzi Zanzibar?

    Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mnamo tarehe 12 hadi 14 Januari 1964, na yalikuwa harakati za kisiasa zilizosababisha kubadilika kwa utawala na kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Mapinduzi hayo yalikuwa na muktadha wa kisiasa na kijamii ambapo kulikuwa na mivutano kati ya Waarabu na...
  10. D

    Utamaduni wa kututanganzia viongozi wakuu na wastaafu wanapoumwa haupo, inapotokea tunapata mashaka

    Ukweli usemwe tu! Kiongozi anapoumwa hapa nchini kwetu imekuwa kama kasumba kuficha ficha sana kutoa taarifa. wakati ni haki ya umma kufahamishwa alipo mtumishi wao wanayemlipa! Hata taarifa zinapotoka huwa kwa mbinde sana! Na taifa hilihili linapotoa taarifa kirahisi pasipo kuombwa ombwa...
  11. Roving Journalist

    DC Asema uhalifu Arusha umepungua, awaomba Wastaafu kuwa mabalozi Wazuri uraiani

    Mwenyekiti wa Usalama Wilaya ya Arusha Mjini ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Ndugu Felician Mtahengerwa amesema uhalifu umepungua kwa kiasi kikubwa Jijini humo kutokana na kazi kubwa inayoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama. Mkuu huyo...
  12. K

    Kuhusu Pensheni ya Wastaafu wa Serikali za Mitaa kutoka Hazina: Je, Serikali haijui ni haki yetu?

    Leo ni tarehe 9.1.2024 Wastaafu wa Serikali za Mitaa wanaolipwa na Hazina hawajapata pensheni yao ya Desemba, 2023. (1) Je, Serikali ina hali mbaya ya kifedha? (2) Je, Serikali haijui ni haki yetu? (3) Je, Serikali haioni ni kipaumbele chake kuwalipa wastaafu? Tunaomba tulipwe kwani ni haki yetu.
  13. Restless Hustler

    INASIKITISHA! Wastaafu wageuka ombaomba, vijana tuwe makini

    ITV imeonyesha kilio cha Wastaafu wanaomlilia Mh. Rais Samia ili waongezewe pensheni kwani kwa Sasa wanalipwa TSH laki moja kwa mwezi! Wastaafu hao bila Shaka walikuwa wanakula Bata ujanani na kutokuwekeza Wala kuweka akiba, jambo lililokuja kuwagharimu uzeeni huku wengi wao wakikiri...
  14. Tlaatlaah

    Wastaafu wanateswa sana na mikopo ya kausha damu wasaidiwe

    Kausha damu ni mikopo ya yenye urahisi sana upatikanaji wake. Ina vigezo na masharti nafuu sana yanayowezekana kwa wakopaji wengi. Kwa upande moja inasaidia sana watu wenye shida na malengo ya kujiunua kiuchumi, na wanafanikiwa bila wasiwasi. Kwa upande mwingine ni mateso, vilio na kusaga meno...
  15. C

    Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

    DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi. DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa) DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa) Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
  16. U

    Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

    Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake... Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta...
  17. Jaji Mfawidhi

    Salma Kikwete apongezwe, amesaidia Wenza maskini wa Wastaafu. Historia itamkumbuka

    Salma Kikwete ambaye ni Mwalimu Mstaafu wa Oystrbay Primary, Mbunge huko Mtwara na pia Mmiliki. wa WAMA -NGO ya Kitajiri: Ikumbukwe huyu Salma Kikwete alikuwa Mwalimu shule ya Msingi{elimu yake nadhani mnaijua} , kakatishwa kazi , mshahara wa Certificate ya ualimu ni 420,000/kwa mwezi mwaka...
  18. Mangi wa Rombo

    Shirika la Reli (TRC) ndio limegoma kabisa kulipa kiinua mgongo "mkono wa kwa heri" kwa wastaafu wake?

    Habari! Nimekutana na mzee mmoja mstaafu wa shirika la reli (TRC) ambaye alistaafu rasmi mwaka 2020. Huyu mzee wakati ana staafu alikuja kwangu kunikopa hela, hakikuwa kiasi kikubwa sana, na alihaidi kukirejesha pindi tu atakapolipewa pesa zake za kiinua mgongo ama "mkono wa kwa heri" kama...
  19. Poppy Hatonn

    Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. Kwanini Makonda aseme kwamba wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni?

    Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?" Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70...
  20. uttoh2002

    Kipindi Maalum ITV vs Wenza wa Wastaafu

    Leo nimesikiliza kipindi maalum cha Ulelingombe Morogoro Nikaumia sana, na kuongeza chuki kwa CCM na tawala zote. 1. Wana hali ya hewa nzuri kwa Kilimo. 2. Maji kwa ajili ya umwagiliaji na kilimo. 3. Ardhi nzuri yenye rutuba sababu ya Kilimo. Shida yao: Hawana miundombinu Mbinu ya barabara...
Back
Top Bottom