wasukuma

The Sukuma are a Bantu ethnic group from the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 10 million members or 16 percent of the country's total population. Sukuma means "north" and refers to "people of the north." The Sukuma refer to themselves as Basukuma (plural) and Nsukuma (singular). They speak Sukuma, which belongs to the Bantu branch of the Niger-Congo family.

View More On Wikipedia.org
  1. Tiktok yashtushwa na kushangazwa na idadi ya wasukuma katika mtandao wao. Waongoza kwa kutengeneza content

    Hakika si kilimo tu, sasa wameingia katika dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kasi kubwa.
  2. Wasukuma wana mziki mzuri sana wa asili kuzidi hata bongo flava ya sasa na singeli.

    Great Thinkers Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania. 1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never 2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
  3. Watawala wa Wasukuma, Waha, Wahaya, Wazinza, Wanyamwezi na Wafipa walikuwa Wahima(Watutsi). Kuna ukweli kiasi gani?

    Haya yameandikwa katika kitabu Zamani Mpaka Siku Hizi. Inadaiwa Wahima(Watutsi ni Wahima walioelekea magharibi kwenye vilima vilivyoitwa Tutsi) Walipotoka kaskazini kwenye karne ya 14 walikuwa na nguvu na maarifa mengi. Hilo liliwafanya kila walikopita, kuanzia Uganda hadi Kusini Mashariki ya...
  4. Ila wasukuma....

    Bhaghosha na bhankima...
  5. M

    Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

    Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana. HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
  6. Kuongea kwa kukandamiza siyo ushamba bali KARAMA hivyo WASUKUMA tueleweke vyema

    Amani iwe kwenu watanzania wote Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima watanzania elimu iliyo bora ili waendelee kuwatawala inavyotakiwa yaan kisawa sawa Watanzania wengi...
  7. Wazee wetu hawakuwa wajinga kututafutia wake wa kuoa! Wasukuma tulibezwa sana kuhusu hili yamkini waliona mbali.

    Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko) Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei mfano ni babu yangu kuwatafutia baba zangu wote wanawake wa kuoa na akalifanikisha wote akiwamo na baba...
  8. Nakujuza, Kuanzia 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa Wasukuma

    Habari Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi. Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya. Utafit huu umebaini kwamba kufikia ,mwaka 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa NI wa kabila la...
  9. Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

    Habari za Jumapili wakubwa. Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji. Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu. Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima. Tumepiga...
  10. Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

    Kweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana. Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
  11. S

    Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

    POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na kuwagawia shilingi elfu 5 tano matokeo yake mnapeleka wabunge bungeni ambao hawana uwezo wa kujua...
  12. W

    Ni jina gani maarufu zaidi kwa makabila ya wasukuma na wahaya ?

    Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8) kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo maarufu hata watu wa mbali wakisikia tu wanajua asili yake. Mfano mtu akiikia Laizer anajua ni...
  13. Mfanano wa kitabia kati ya Wasukuma na Wapemba

    Nimeishi Pemba na nimeishi Simiyu hiki ndio nilikigundua,hawa watu kuna vitu vingi wanashare,hataukienda Zanzibar kuna wasukuma na wanyamwezi wengi japo usukumani wapemba ni wachache,Zamani pale mwanza kulikuwa na mgahawa maarufu kama Chakechake,wananzengo mnaukumbuka? Twende sasa 1. Kuoa na...
  14. S

    Makonda anaeneza ukabila? Ni nini kinamfanya aongee kisukuma huko usukumani?

    Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai anapsua nchi. Kisukuma kilivyo kibaya mi ningeona aibu kukitumia tena karne hii.
  15. Wasukuma wanaoendelea kufanya hizi mila za kimabavu zilizopitwa na wakati wapewe kesi za ubakaji, mabinti waheshimiwe.

    Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila, Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
  16. Je, unajua kuwa mwaka wa Wasukuma una siku 364 + 11?

    Tena mwaka wao walimaji huanzia mwezi wa 11. Miaka huhesabiwa kulingana na shughuli za kilimo. Mwezi wa kwanza ni mwezi ninaoandaa mashamba maana hiyo ndiyo shughuli ya kwanza. Ukiwa mbabe na unajitambua, hadi mwaka unaweza kuubadili tu kufuata matakwa yako. Wasukuma sio wa kwanza kufanya...
  17. N

    Ni kweli Makonda anatumiwa kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025?

    Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu "Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe" NOTE: Ikumbukwe kuwa CCM jambo lao kuu kuliko yote ni kubaki kuwa Chama Bola chama Tawala iwe kwa namna yeyote Ile...
  18. CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

    Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye...
  19. Baadhi ya teknoloiia zilizogunduliwa locally na katika jamii za nyumbani

    Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢 Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
  20. I

    Wasukuma kufuga fisi

    Ningekuwa nikisikia eti Kuna maeneo hapa Tanzania Wana ufugaji wa fisi. Wasukuma watani sijui niseme? Jambo la kujiuliza TANAPA wanalichukuliaje Hilo? Na vipi kwa Nini visiwepo vivutio vya utalii kule sengerema na gamboshi wazungu wakaleta pesa ya kigeni ya kuangalia fisi. Anyway mtwambie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…