Naliangalia suala la Ngorongoro, Loliondo, Handeni na sasa huko Songea, Katavi na hata wale waliovurumishwa bonde la Ihefu kwa jicho tofauti.
Imefika muda wenzetu hawa Waasaai, na siye wasukuma na jamii za kifugaji, inabidi kubadilika na wakati.
Watu wanaisi karne ya 17 kwa kutembeza mifugo...