wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wataalam, Msaada Tafadhali

    Wakuu, naomba Msaada wa namna ya ku unlock hii pocket router ya Alcatel pichani Nikiweka line tofauti na voda inaandika hivi👇🏽👇🏽
  2. Kwa wataalam wa hesabu na sayansi tupeni ufafanuzi wa jambo hili

  3. Serikali yaendelea kutoa mafunzo kwa Walimu wa Sayansi na Hisabati, kupunguza uhaba wa Wataalam

    Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
  4. Waziri Aweso ateua Mkurugenzi Mpya wa Maji Morogoro, aelekeza iundwe timu maalum ya Wataalam

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso leo terehe 22 February 2025 amefanya mabadiliko ya kiutendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA). Waziri Aweso kwa Mamlaka aliopewa na Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Na. 5/2019 amemteua CPA Sais Andongile Kyejo...
  5. Mfumo wa kufanya maombi ya ajira wa TRA unaleta errors wataalam wa IT wa TRA urekebisheni

    Mfumo unaleta internal saver error. Hapo inakua ni ngumu kufanya usajili ili uweze kufanya maombi ya ajira.
  6. R

    Wataalam wa Diagnosis kwenye Magari. Msaada tutani

    Hallo wana JF. Najua hapa wamejaa wataalam wa Magari pia. Mkoko wangu Toyota Allex 2004 Model, ilianza kuwaka taa(Check engine) siku Moja baada ya Kufunga Android radio. Kama kawaida. Nikalazimika kuwaona madokta. Wakaifanyia Diagnosis ika display fault code P0171. Code ambayo mara nyingi...
  7. Ras Geita awakumbusha wataalam malengo ya kampeni ya msaada wa kisheria

    Na Mwandishi Wetu Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita Uzinduzi wa Kampeni hiyo unatarajiwa kufanyika Januari 26, 2025 katika Uwanja wa CCM...
  8. Picha hii ina tafsiri gani?

    Prediction: Huo mkono wa huyo kijana naona kama una ujumbe fulani au hoja kinzani Prediction: Naona mpaka mpambe wa Rais anasubiri amri tu hapo...... Disclaimer: Picha haina lengo la kudhalilisha utu wa Rais.
  9. H

    WATAALAM WA HESABU,HII INAWEZEKANA VP?

    110+100÷2=160 100+110÷2=155 msaada tutani....
  10. Wataalam, Maoni yenu tafadhali!

  11. W

    Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

    Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida. Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1 Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo Euro Truck Simulator 2 MINIMUM: OS: Windows 10 64-bit Processor: Intel Core...
  12. J

    WATAALAM WA UHASIBU NA KODI

    Je, biashara yako inahitaji mtaalamu wa uhasibu na huduma za ushauri wa kodi? Sisi ni wataalamu wako kwa ajili ya ufumbuzi wa kina wa kifedha Kwa uzoefu wa miaka mingi, tuna utaalam katika kusaidia biashara kama yako. Huduma Zinazotolewa: * Kurejesha VAT: Hakikisha biashara yako inatii...
  13. G

    Wataalam wa hesabu, Kuna magari mangapi yaliyosajiliwa Plate Number A mpaka E?

    Kuanzia Plate number AAA mpaka E ya mwisho, kuna magari mangapi Hint: Kuna herufi za platenumber huwa zinarukwa
  14. Habari ni jumbe nimepata kutoka google nataka kufafanuliwa kwa wataalam wa izi mambo

    Google You've closed your Google payments profile Hello from Google, You recently closed your Google payments profile. You'll still be responsible for outstanding balances. Most customers can delete additional payment information, including loyalty cards and contactless payment attempts, from My...
  15. U

    Wataalam wa psychology na counseling karibuni tushauriane hapa

    Mwanzo kabisa, nikusalimieni, hope nyote ni wazima na wagonjwa mungu akuzidishieni wepesi katika afya zenu ili muendelee na majukumu yenu ya kila siku Pasi na kupoteza muda, niende kwenye lengo la andiko, japokuwa kuwa unaweza kuwa mrefu lakini nitajitahidi kulifupisha kidogo Wakuu niko njia...
  16. Wataalam wa magari nisaidieni, hii ni gari aina gani?

  17. Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  18. Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  19. Kwa wataalam na wazoefu wa pikipiki

    Kwa Wataalamu wa Pikipiki: Ninatafuta ushauri kuhusu aina au brand bora ya pikipiki kwa kazi za kubeba mizigo kati ya kg 30 hadi 75 kila siku. Je, ni brand gani kati ya boxer, tvs, hero, honda, hunter na nyingine. Je ipi ni imara na inadumu muda mrefu kwa mazingira ya joto, vumbi, na mvua ya...
  20. Kwa wataalam wa lugha hii imekaaje

    Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence. Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…