FEBRUARI 7, mwaka huu, China ilimpoteza daktari bingwa wa macho (ophthalmologist), jina lake ni Li Wenliang. Alikuwa kijana mdogo. Oktoba 12, mwaka huu, angetimiza umri wa miaka 34.
Wenliang alikuwa anahudumu kwenye Hospitali Kuu ya Jiji la Wuhan. Desemba mwaka jana, alikuwa mtu wa kwanza...