Kwa maana jinsi hii...
Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua matatizo badala ya kuyakwepa, hapatokuwa na shida yo yote katika dunia ambayo hawatoweza kuishinda...
Habari,
Kwanza niseme tu kwamba mimi ni mdau wa elimu na ninafuatilia kwa ukaribu sana uelekeo wa elimu ya nchi yetu.
Kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita nimebahatika kufuatilia kwa ukaribu uelekeo wa mafunzo,aina ya mafunzo,nyenzo za mafunzo yanayotolewa katika taasisi za elimu hapa nchini...
Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,
watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua,
mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi...
Nilitegemea wataalam wetu wa afya pamoja na washauri wa Rais waliomshauri kuagiza chanjo ya corona watakuwa mstari wa mbele kujibu hoja za askofu badala yake wamekuwa watu wa kumshambulia yeye binafsi na kumpa vitisho badala ya kujibu hoza zake kitaalam.
Katika hoja ya kwanza, Askofu gwajima...
Tatizo la takataka za chupa za plastic lilipatikana baada ya kampuni za uzalishaji kuamua ku-recycle hivyo kuwapa "ajira" waokota makopo.
Lakini kuna hizi chupa za energy drink. Mo Energy na Azam Energy hizi huwekwa kwenye chupa za plastic za rangi ambazo kamwe sio dili kwa waokota makopo...
Sote tunafahamu kuwa Afrika Kusini ndiyo nchi inayoongoza katika bara la Afrika katika huduma bora za afya na teknolojia ya afya.
Afrika Kusini, kwa takwimu rasmi, ndiyo inayoongoza katika maambukizi na vifo vinavyotokana na covid 19, japo kiuhalisia hatujui kama huo ndio ukweli wenyewe au ni...
Ukiachilia mbali kuwa mfuasi wa katiba pendekezwa, Humphrey Polepole ameamua kuvunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa maneno haya yaliyo katika tafsida...
Unadhani ameongea maneno hayo kwa dhumuni au lengo gani?.
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
askofu
askofu gwajima
daraja
gwajima
habari
kwanza
mambo
mamlaka
mbunge
miradi
miti
mlimba
morogoro
msingi
nchi
picha
tanzania
tarura
ujenzi
uvccm
wataalam
Hii ni kwa mujibu wa taarifa za taasisi ya elimu ya juu, kwamba Tanzania yote huko wataalam ni asilimia 3.3% ya mamilioni ya raia wake......shughuli bado sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda unaohitaji ndani kuwe na wataalam wa kutosha kupokea ujuzi wa wageni.
==============================...
Najua si rahisi sana lakini ni vema kama nchi ikapambana kujua vema na kuwaongoza wananchi wake:-
Maabara zitambue kwa makini chanjo hizo ziko na vitu gani hasa(content)
Tutafsiri kila kimoja na faida au madhara yake.
Bado dunia haikimbilii sana hizi chanjo.
Bado vifo vimeripotiwa kwa hizi...
Nina sacket zangu za kutoka kwenye fuso super great ambazo zimeungua na kusababisha gari kukosa nguvu
Naitaji msaada kama mtu anaweza kuzifix au kuzifanyia utundu wowote mpaka ziwe okay
Nimekuwa najiuliza nini hufanyika kwenye vyoo vya mahoteli makubwa kutokuwepo na harufu ndani pamoja na kwamba vyoo hivyo havina madirisha tofauti na majumbani ambamo mtu na hasa mgeni akiingia kama rooms zipo karibu na toilet basi wenyeji mnabaki kujibaraguza kelele puani haidhibitiki.
Suala la kushusha riba nchi hii linaonekana kufanyika kutokana na maagizo ya wanasiasa (liko kisiasa) na si Benki Kuu kama wataalamu kushauri au kushusha riba kwa mabenki ili nayo yashushe riba kwa wananchi.
Kwa mfano, leo Mama kaagiza Benki Kuu kuhakikisha mabenki yanashusha riba kufika chini...
Ni mzoefu katika ufugaji.
Lakini kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nina jogoo wangu mkubwa tu wa miaka kama miwili hivi. Sasa tangu juzi sauti yake inanipa mashaka anapowika.
Ni kama vile kaisha chaji. Sauti inatoka kinyonge na hata mda mwingine anaishia katikati hamalizii kuwika mpaka...
Mbunge wa Viti Maalum, Tunza Malapo amesema elimu ya Tanzania inaathiriwa na matamko ya kisiasa.
Tunza ameyasema hayo jana Jumatano Mei 5, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Amesema kubadilisha mtaala...
Nina shida na kununua kadeti ila naona nyingi zilizojaa dukani ukivaa baada ya muda zinapauka balaa.
Nataka kujua aina ya kadeti nzuri na zisizopauka na sehemu yake zinapouzwa na bei yake.
Nipo Dar
Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman
Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea
Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
Mimehamia nyumba yangu mpya ambayo umeme haujafiaka. Nimeplani ninunue solar ya kawaida tu lakini si hizi za makampuni. Ninachohitaji kujua, tv na sub woofer yangu vyote vina njia mbili ya umeme na ya solar.
Je, nahitaji kuwa na inveta kuviendesha hivyo vifaa? Au njia ya solar naweza connect...
Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa?
Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.