Habari wakuu?
Samahani, kiukweli mimi huwa nasumbiliwa na ugonjwa nisio ufaham ambapo kila baada ya miezi kadhaa naugua ugonjwa dizaini ya malaria na huu ugonjwa umenianza tangu nina almost miaka 5. Na kila Hospital ninayoenda kupima naambiwa sina ugonjwa (Kuhusu hili unaweza nipa ushauri)...
Habari wanajamvi
Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba.
Hiyo...
Ni matumaini hatujambo sote,
kama heading ilivyo nimefunga single phase 2kva Automatic Voltage Stabilizer ili ku protect submersible water pump 1hp (750w) lakini imeshindwa kubeba ku trip off...
Ukiondoa hiyo AVR pump inafanya vizuri tu
Na hiyo AVR kwenye shughuli zingine km...
WATAALAMU "PROFESSIONALS" WA TANGANYIKA WANAFUNZI WA COUNT VICTOR LUSTIG
Uzuri wa Tanganyika ni kuwa unaweza kukodi kila aina ya huduma na kwa kweli fani hii ina wataalamu mabingwa khasa.
Mathalan una jambo lako lakini halinogi sharti uwapate masheikh.
Hawa "wataalamu professionals," watataka...
Mifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo?
Yani unaweza kukuta vi websites binafsi tu vinawatumiaji karibu milion lakin viko haraka sana lakini...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema atatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi.
Waziri Mkenda amesema hayo leo Januari 13, 2022 jijini Dodoma wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo...
Na nashauri hata Siku zingine ikitokea Mvua zikagoma Kunyesha tuwaombeni hawa Waandamizi Watatu tajwa katika 'Headline' yangu watusaidie Kuongea na hao 'Wataalam' wao kwani kwa muda mfupi tu huu wameshaonyesha kuwa hakika 'Ndumba' wanazijua na wanaweza.
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba hakuna...
Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!
I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!
ii) Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa.
iii) Hatima ya katiba mpya
iv) Ufafanuzi wa deni la Taifa...
Medical supplies company, located at Dar es Salaam is looking for:
1/ (experienced) sales representatives,, minimum required sales experience is one year in pharmaceutical or medical supplies company or commercial sales company.
2/ Experienced drivers (driving license (type C).
Applicants...
Windows 8.1 pro,nikienda huko kwenye setting inataka niweke NEW PRODUCT KEY sasa mimi sina hizo new product key,nazipataje na je ikifikia tarehe ya ku expire sitapoteza vitu vya humu kwenye hii pc? ama ni athari gani itatokea.
msaada wakuu
1. Nini kinachangia au kusababisha katika system meseji kugoma kwenda?
Mfano unatuma sms inafeli, unarudia tena inafeli, unarudia tena inafeli unarudia tena inaenda?
2. Nini kinasababisha ujumbe kuchelewa kufika?
Mfano, unatuma meseji saa 4 asubuhi lakini meseji inafika saa 9 alasiri.
Tatizo...
Naomba kujuzwa ni kitu gani hasa kinachomuongoza ndege kuchagua mwenzi wake anayemfaa? Maana huwa napendezwa sana ninapowaona ndege dume na jike wakishirikiana kwa utaratibu na wororo mzuri sana!
Let say mchezaji X ana kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi zilizopita katika ligi .kanuni zinasema ukifikisha kadi tatu za njano,hautacheza mchezo unaofuata.swali,ikitokea mchezaji X akapata kadi mbili za njano na red card kwa mchezo unaofiata ke zile yellow card mbili za awali zotafutika...
Habari wakuu,
Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3.
Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai
Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa.
Kwa yeyote ambae anajua hizi mambo please naomba msaada wa information zote.
Nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na mwalimu mmoja Mcanada alikuwa anafundisha shule moja ya madhehebu ya Wasabato inaitwa Parane Secondary School. Alikuwa anafundisha Chemistry na Physics. Don Straub. Alikuwa mzuri sana katika masomo hayo. Sehemu hiyo inaitwa Mamba Myamba, Upareni.
Kuna kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.