Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali.
Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
Takriban wanaume 32 wameiandikia Kurugenzi ya Udhibiti wa Uraia na Uhamiaji (DCIC) nchini Uganda, wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto baada ya matokeo ya DNA kuonyesha kwamba wao siyo wazazi halisi wa watoto hao.
Msemaji wa Wizara ya Masuala ya Ndani wa nchi hiyo, Simon Mundeyi...
WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema.
Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba...
WABUNGE WATAKA DENI LA TPDC LILIPWE
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Dunstan Kitandula akiwasilisha bungeni maoni ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma leo Jumatatu Mei 31, 2023.
Wabunge wataka...
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Serikali kulipa deni la Sh720 bilioni mauzo ya gesi kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwenda Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambalo linaendelea kukuwa.
Hayo yamesemwa leo Mei 31, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
TAARIFA KWA VYOMBO HABARI 28-Mei-2023
Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) zimesikitishwa kwa vitendo vya mauaji ya kikatili dhidi ya wanawake wawili yaliyotokea hivi karibuni Bububu Kijichi na Mbuzini...
Wakati matukio ya watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi, gerezani yakiibua sintofahamu, Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), kimependekeza kurudishwa kwa utaratibu wa mahakama kuwa ndio chombo kitakachochunguza vifo vyote vyenye utata.
Chama hicho kimesema huko nyuma mtu akifariki gerezani, kituo...
Zaidi ya viongozi na watafiti 1,000 wa teknolojia, akiwemo Elon Musk, wamezitaka maabara za ujasusi za bandia kusitisha maendeleo ya mifumo ya hali ya juu zaidi, na kuonya kwamba zana za AI zinaleta hatari kubwa kwa jamii na ubinadamu.
Barua hiyo ya wazi, iliyotolewa na Taasisi isiyo ya Faida...
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba alipewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano huo alisema kama kweli wote waliosimama na kumsifia Dkt. Samia Suluhu wameongea wakimaanisha basi wasimame na kupitisha azimio la kuwa Samia Suluhu ndiye atakua mgombea pekee kwa mwaka 2025.
"Naona kila...
Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi.
Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni 15,085,458. Kura 7,844,438 zimetaka Trump arudishiwe akaunti yake huku Kura 7,241,019 zikimkataa Rais huyo...
Madiwani wa Halmshauri ya Mji Mafinga wilayani hapa, wamemwomba Mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuunda kamati ya kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma wizi wa dawa katika kituo cha afya Ihongole unaolalamikiwa na wananchi.
Hayo yamebainishwa na Diwani wa viti maalum Dainess Msola katika kikao cha...
Bunge la 12, mkutano wa 9 kikao cha kwanza. Wabunge kadhaa wakichangia muswada wa elimu wametaka bodi ya mikopo ya elimu ya juu ivunjwe kutokana na utendaji usioridhisha.
Baadhi ya mambo waliyoyataja ni pamoja na Bodi ya Mikopo kuchelewesha mikopo au kutoa mikopo kwa ubaguzi.
Wabunge hao...
Wakazi wa Kijiji cha Nyamakobiti, Kata ya Majimoto, mkoani Mara, wametaka warejeshewe madaraka ya kutumia mila na desturi zao katika kushughulikia wahalifu sugu, wakiwamo majambazi, ikiwa polisi watatishwa na maneno ya wanasiasa.
Hayo yameelezwa kupitia mkutano wa hadhara, ulioandaliwa na...
Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani
Chanzo: Getty images
Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo...
Mwalimu mmja huku new Jersey awa gumzo kutokana shape yake wazazi wawaka wataka afukuzwe wadai anawachanganya watoto wakimuona huku wengine wakimtetea asifukuzwe Ila avae nguo za heshima.
ACT hakina msimamo kinaenda na upepo kinaangalia vyama vikubwa kama Chadema vinataka nini. Mwanzo walikuwa na kauli mbiu yao ya TUMEHURU KUELEKEA KATIBA MPYA, leo wanasema KATIBA MPYA NI SASA.
Tusiwabeze ACT bado ni wachanga hawajui kwenye siasa ili uaminiwe unahitaji consistency. Waendelee...
Viongozi na wananchi wa Kijiji cha Murufiti, Nyansha na Kigondo wakiwa kwenye makundi wakijadili mkakati wa kukabili ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwenye jamii za vijiji vyao katika kongamano lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).
Baadhi ya wanaume walioshiriki mjadala wa...
Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Dk. Rose Reuben ameshauri maboresho ya Sheria za Habari kuingizwa suala la kushughulikia unyanyasaji wa waandishi wa habari wanawake ili kukabiliana na changamoto hiyo katika vyombo vya habari.
Dk. Rose amesema hayo kwenye mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.