watalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Katavi: Muongoza watalii ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kuomba rushwa

    TAKUKURU mkoa wa Katavi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa, Agosti 24, 2022 imefungua shauri la jinai Na. CC. 95/2022 dhidi ya Elisha Christopher Mashamba ambaye ni muongoza watalii katika hifadhi ya misitu ya Tongwe East - Nkondwe Waterfalls Camp. Ameshitakiwa kwa makosa ya kuomba na...
  2. L

    Hongeraaa Sana mama Samia kwa mafuriko ya watalii

    Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli kwa mafuriko ya watalii yanavyoendelea kushuhudia hapa nchini Nina kila sababu ya kumpongeza mh Rais...
  3. Rashda Zunde

    Mafuriko ya watalii nchini, nampongeza Rais Samia Suluhu

    Tanzania kama ilivyo baadhi ya mataifa, imejaliwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii ikiwemo Hifadhi ya Ngorongoro ambayo inatajwa kuwa miongoni mwa zilizo katika maajabu saba ya dunia kwa kuwa na wanyama adimu duniani. Filamu ya Royal Tour inaonesha vivutio vya utalii vilivyoko Tanzania...
  4. L

    Changzhou: Watalii wafanya manunuzi kwenye mtaa wa kibiashara wakati wa usiku

    Julai 31, huko mjini Changzhou mkoani Jiangsu, China, wakazi na watalii walikuwa wakifanya manunuzi kwenye maduka mbalimbali katika mtaa wa kibiashara wa Hanjianglu uliopambwa kwa taa za rangi wakati wa usiku.
  5. L

    Watalii watembelea msitu wa minazi kwa boti za mianzi huko Vietnam

    Watalii wanatembea msitu wa minazi katika sehemu ya pwani nchini Vietnam kwa kupanda boti za mianzi. Boti hizo zimevutia watalii wengi ambao kama wakipenda, wanaweza kufurahia ngoma za kitamaduni na kushiriki katika mashindano ya kupiga makasia.
  6. Rashda Zunde

    Kenya kinara wa kuingiza watalii Tanzania

    Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoingiza watalii wengi. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika taarifa yake iliyotolewa hivi karibuni kuhusu watalii walioingia Tanzania kati ya...
  7. HIMARS

    Report: Iranian intelligence chief sacked over spate of assassinations

    A court in Iran on Thursday ordered the United States government to pay over $4 billion to the families of Iranian nuclear scientists who have been killed in targeted attacks in recent years, state-run media reported. The largely symbolic ruling underscores the escalating tensions between Iran...
  8. L

    Tamasha la utamaduni na sanaa la Kuqa, China lawavutia watalii wengi

    Kuanzia tarehe 15 hadi 17 mwezi Juni, tamasha la 18 la utamaduni na utalii wa Qici ambalo pia ni tamasha la kwanza la utamaduni na sanaa za Qiuci mjini Kuqa, China lilifunguliwa. Shughuli mbalimbali za kitamaduni kama vile maonyesho ya fataki, maonyesho ya urithi wa utamaduni usio wa mali...
  9. Huihui2

    Video: RC Mongella akikaribisha watalii wa KIA

    Hii ni habari mbaya kwa wasiopenda mafanikio ya Rais Samia hasa kwenye "Royo Tua". Mama Samia tunakuambia piga kazi watakaa kimya wenyewe.
  10. Meneja Wa Makampuni

    Hivi upi ni uchumi endelevu kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?

    Nilikuwa najiuliza maswali haya. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii. Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo. Nataka kuwauliza wenzangu. Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama? Naombeni majibu ndugu zangu
  11. The Supreme Conqueror

    Je, Usafirishaji wa Wanyama nje ya nchi itachangia ongezeko la Watalii au tunaenda kuua soko la Utalii ndani ya nchi?

    Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi. Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
  12. pantheraleo

    Dodoma: Nangasu Werema, Bajeti ya Wizara ya Utalii 2022/2023, ni bajeti bora. Tujiandae kupokea Watalii

    Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia. Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo...
  13. L

    Idadi ya watalii wa Kenya yavuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022

    Kulingana na takwimu mpya za kiuchumi kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya Kenya (KNBS), idadi ya watalii waliofika Kenya imevuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 huku hali ikirejea kama kawaida katika sekta hiyo baada ya kukatizwa na COVID-19. Takwimu hizo zinaonesha kuwa Kenya...
  14. L

    Kenya na Uganda kufanya uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii wa nje

    Kenya na Uganda zinatarajiwa kuanza kufanya shughuli za uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii kutoka nje. Akiongea kwenye uzinduzi wa maonesho ya barabarani yaliyoandaliwa na Bodi ya Utalii ya Uganda (UTB), Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Waendesha Utalii wa Kenya Fred Kaigua amesema jijini...
  15. Nyankurungu2020

    Baada ya Shaka kulazimisha msifie chochote juu ya rais Samia naona sasa watu wanaropoka hovyo tu. Huko nyuma watalii walikuja kulikuwa hakuna usalama?

    Mtu akiteuliwa kwa kubebwa haya ndio madhara yake sasa. 👇
  16. M

    Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

    Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii? Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko? Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli? 👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio Mbona TTB walisema watalii...
  17. Lycaon pictus

    Kutangaza utalii kuendane na kujenga miji ya kitalii. Watalii hawapendi miji michafu.

    Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk Tungerekebisha miji yetu ya...
  18. Stroke

    Utalii ni zaidi ya wanyama hai na mazingira mazuri kama Taifa tunapaswa kutengeneza Upekee wetu ili kuvutia watalii

    Tanzania sio Nchi Pekee duniani yenye wanyama hai na mazingira mazuri ya kuvutia watalii. Kuna nchi mbali mbali duniani ambazo hazina wanyama wala mazingira mazuri ya kuvutia lakini zinapata watalii kwa mamilioni kwa mwaka. Mfano Mzuri ni Nchi kama Ufaransa watu wanakwenda pale kuangalia tu...
  19. Mkaruka

    Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

    Hili suala sijui litakuja kuisha lini, maana noana linaongezeka kila siku.
  20. Notorious thug

    Nchi tano za Africa zilizotembelewa zaidi na watalii 2020-2021

    Kama tunavyojua utaliii ni moja ya chanzo kikubwa cha mapato kwa nchi nyingi dunia. Hii ni orodha ya nchi za Africa zilizotembelewa zaidi na watalii kwa kipindi cha mwaka 2020-2021 ambapo kuliku na changamoto ya ugongwa wa Covid-19. SOUTH AFRICA-ilitembelewa na wataliii 2.3...
Back
Top Bottom