watalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord denning

    Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

    Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang! Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa! Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
  2. L

    Beijing: Watalii watembelea Forbidden City wakivalia mavazi ya kijadi

    Watalii waliovalia mavazi ya kijadi ya China wanapiga picha katika kivutio cha utalii cha Forbidden City mjini Beijing.
  3. Suley2019

    Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Leila Mohammed Musa, ambaye ni...
  4. vivaforever

    Maeneo hatari kutembelea duniani, hasa kwa watalii

    Duniani kuna baadhi ya maeneo ukiyafikiria tuu huwa yanakutamanisha sana kiasi ukatamani siku uende kuyatembelea.. lakini kiuhalisia ni maeneo hatarishi zaidi hapa Duniani. Kiuhalisia Dunia ina maeneo mengi ambayo ni hatari kuyatembelea lakini kwenye uzi huu nitayaongelea machache tuu ambayo...
  5. and 300

    Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

    Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa zaidi. Bora mabibi wa-kitaliano, wapo social na ukimpa show Kali anakuachia Dola za maana. NB...
  6. S

    Mnaoidharau TMA someni hapa, ndio mjue bila TMA, hata ujio wa ndege za kimataifa ungekuwa wa mashaka na hata Watalii kuwapata ingekuwa mtihani

    Nimesoma thread moja hapa JamiiForums watu wanaiponda TM. Nachowaambia hawa watu waachei kudhrau kazi za watu bila kufanya utafiti wa kutosha. Tambueni, mbali na huduma zingine, unaporuka na kutua salama kwa ndege hapa nchini, TMA inahusika pakubwa. Soma hii: Habari Imewekwa: Jan, 16 2021...
  7. Bushmamy

    Arusha: Kituo cha daladala Kilombero hakikidhi viwango

    Stand ya magari madogo Kilombero Almaarufu kama stand ya Hiace ambazo daladala zote za mjini huanzia hapo haikidhi kabisa vigezo vya kuitwa stand ya daladala kutokana na sababu zifuatazo. Hakuna vibao vinavyoonyesha kwamba hapa ndipo yanapopaki magari ya uswahili, Njiro au Usa, bali dereva...
  8. F

    Sifa yetu mbaya kwenye utoaji wa Demokrasia na Haki za Raia ndio zitapunguza idadi ya watalii nchini

    Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao. Ni vizuri rais...
  9. Jembe Jembe

    Watalii kutoka Israel kutua nchini Agosti 2, 2021

    Na Joseph ngilisho Arusha, Watalii zaidi ya 150 kutoka nchini Israel wanatarajia kutua nchini Tanzania kesho jumatatu kwa ajili ya shughuli za Utalii ili kujionea vivutio mbalimbali vilivyopo hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo ,Kamishna Mwandamizi wa Uhifadhi na...
  10. A

    Picha wanazipenda kuchukua Watalii kama kumbukumbu ya utalii wao Afrika

  11. L

    Lavender yavutia watalii na kuwatajirisha wakazi wa kijiji cha Sigong mkoani Xinjiang

    Lavender ni mmea ambao una matumizi makubwa sana na unaosaidia duniani. Harufu ya mmea huu ambao ni rahisi sana kuota inajulikana kwa kutuliza akili, na ndio maana imekuwa rahisi kutumika kwenye mishumaa au hata mafuta. Maua ya Lavender ni mazuri na yamekuwa yakisifiwa sana, sifa hizi...
  12. Mparee2

    Covid - mfumo wetu wa kupima Korona hauwafai watalii...

    Kwa Muda sasa nimekuwa nafuatilia mfumo wetu wa kupima covid (PCR) nikaona unawafaa watu ambao hawana haraka au hawana tatizo la muda kitu ambacho sio rafiki kabisa kwa utalii 1. Tulitangaziwa kuwa majibu kwa Dar/ Arusha mikoa yenye Lab yatatoka Ndani ya saa 24 kitu ambacho, ukiuliza lab...
  13. Kibukuasili

    Kampuni ya kupandisha watalii Mlima Kilimanjaro

    Nafikiria kuanzisha kampuni ya kupandisha wageni mlima kilimanjaro. Kwa sasa ninachojua ni kwamba. Lazima uwe na kampuni iliyosajiliwa BRELA na TRA. Sio lazima kuwa na gari. Magari ya kuwachukua airport kwenda hotelini na kwenye geti la kuanzia/kumalizia unaweza kukodisha. Nguo za kupanda...
  14. paul sylvester

    Majira yamebadilika sana, badala ya kusubiri watalii waje, tubebe wanyama wetu tukawatembeze hukohuko na pengine kuwauzia kabisa

    Wanajamvi Amani kwenu Hivi leo dunia imebadilika, majra nayo na nyakati zinazidi kubadilika Huko tuendako, kwa sababu ya milipuko ya magonjwa na masharti yanayotokana na milipuko hiyo ya magonjwa inatufanya walimwengu tuishi kidizaini kama tulikuwa na utalii. Mtu kusafiri kwenda mahali...
  15. Suley2019

    Zanzibar: Wamiliki wa Hotel kuchukuliwa hatua ikiwa wageni wao watatoka bila kuvaa stara

    Serikali ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua wamiliki wa hoteli ambao wageni wao watatoka hotelini wakiwa hawajavaa nguo za stara. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale amewataka wageni hasa watalii kutovaa nguo zinazokiuka maadili wawapo maeneo ya umma, mfano sokoni. Chanzo: Swahili Times
  16. TODAYS

    Tunamuomba Mungu atukinge na Corona, kesho watalii wanatua KIA, AKIA, JNIA huku nchi ikiwa wazi mipakani

    Imani inaweza kutoa matokeo chanya lakini papo hapo imani inaweza kuvunja matokeo uliyoyapata. Jana waislamu leo wasabato na baadaye ni mchanganyiko wa makanisa kuiombea nchi dhidi ya janga la corona, unadhani Mungu anaweza kuponya taifa ingali lipo wazi? Hapa tunacheza na imani, imani...
  17. eliakeem

    Watalii wanamiminika in the East Africa's Corona free state

    Dunia nzima inajua ukitaka kwenda kutalii bila ya bughudha ya kushurutishwa kuvaa barakoa au mikwala mingine mingi. Dunia inajua kuna nchi moja tu iko mashariki ya Afrika ndiyo haina hayo mafua. Nayo ni Tanzania.
  18. Mparee2

    Mabadiliko ya sheria/taratibu zinazo husu wageni - iwepo nakala ya Kiingereza

    Nilishatoa hili sijui mwaka juzi...narusia tena HILI LINAWAHUSU ZAIDI WIZARA YA UTALII, WIZARA YA AFYA, PAMOJA NA UHAMIAJI Napendekeza kila tangazo linalotolewa liwe kwa Lugha mbili; Yaani Kiswahili na Kiingereza I weje tangazo linalo wahusu watalii kwa asilimia 80% likose nakala ya...
  19. Sky Eclat

    Suala la watalii kutokurudi tena Tanzania wanapokuja mara moja, huduma zetu ziboreshwe

    Nchi nyingi zinazotegemea utalii katika uchumi wa Taifa, zimelenga kupata watalii wengi kwa gharama nafuu. Nchi nyingi zinafanya package holiday, ambayo watalii wa kipato cha kawaida wanaimudu. Si wazungu wote kuwa ni matajiri. Wazungu wanaotalii wengi wanategemea credit cards. Kwa gharama za...
  20. T

    Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

    Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...
Back
Top Bottom