There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya...
Habari
Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi.
Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya.
Utafit huu umebaini kwamba kufikia ,mwaka 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa NI wa kabila la...
ukiangaria siasa za Tanzania na afrika kwa ujumla kama ni mtu unaye fikiri vizuri utaona kunashida kubwa katika nchi zote za Africa.
Shida kubwa sio tu kwa viogozi wa Africa tu bali hata raia wa Africa wote walisha kuwa watu wa kuabudu watu badala ya kuwalazimisha kufuwata...
Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa...
Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM.
Kama ni mgonjwa naweza...
Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa
Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
Mapenzi - Ndoa chungu, Usaliti, nguvu za kiume, n.k.
Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k.
Kesi mahakamani
Marejesho ya Mkopo
Magonjwa (Kisukari, Presha, Uti Sugu, n.k.)
kukosa ajira - Mhitimu wa chuo hana connection
Visasi - kila unapotembea lazima uangalie mazingira
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) inapaswa kuwa sauti ya mwananchi, chombo huru na tegemeo la jamii katika kutoa taarifa sahihi, za kina na zenye kuwajibisha.
Katika enzi ya habari zinazoenezwa kwa kasi kubwa, TBC inapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuripoti matukio muhimu yanayoikumba...
Mpo salama!
Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo.
Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania...
Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda.
Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania?
Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi.
Kwamba hatuwezi...
Tatizo kubwa sana hili kwa watanzania kushabikia siasa kama vile wanashabikia mpira wa miguu.
Jambo hili limefanya siasa za Tanzania kuwa ushabiki usio na manufaa kwa Watanzania.
Hii ina madhara makubwa sana kwa uhai wa Taifa letu.
Heri ya sikukuu ya mwaka mpya, Wanajukwaa hili.
Penye ukweli uongo hujitenga. Hili naomba lieleweke vema.
Miongoni mwa low minded people in Africa ni jamii za Watanzania.
Mpaka kufikia umri huu, nakubaliana na 'phrase' hiyo hapo juu kwa sababu nilizoona kutokana na uzoefu wangu wa muda mrefu...
Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha.
Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule...
#Repost @mwananchi_official
——
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo.
Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili...
Jana clubhouse umerudia kuwa Abdul alitaka kukuhonga.
SWALI KUBWA: ALITAKA KUKUHONGA ILI UFANYE NINI?
Wenje amesema alimpeleka kwako ili akusaidie kupata fedha zako. Je ni kweli ulituma covering letter kwa email ya Abdul? What does that mean? it means ulikuwa na mahusiano mema na Abdul...
Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
Kuna viashiria vingi vya chama chenye nguvu na wafuasi wengi. Mojawapo ya viashiria hivyo ni wingi wa watu wanaojitokeza wakati chama hicho kikifanya michakato yake ya ndani kama vile uchaguzi mkuu, n.k.
Tofauti na CCM, mchakato wa uchaguzi mkuu wa viongozi ndani ya CHADEMA umevuta hisia kali...
Watanzania maskini wengi wao wamekuwa wakipitia wakati mgumu na manyanyaso wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wanaofanya kazi viwandani hali hii haikubaliki na inaminya haki za msingi za binadamu.
kuna ushahidi mkubwa kuwa kuna watanzania wengi wananyanyasika viwandani na kufanyishwa kazi...
Wakati wanafanya mabadiliko ya katiba na kuweka ukomo wa miaka 10 kwa vipindi vya mihula miwili vya Urais ni wazi walisahau kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge, sasa tuna wabunge wengi waliokaa miaka zaidi 15 bungeni.
Ni Wakati sasa wa kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge katika katiba yetu...
Uchaguzi wa Chadema umeleta hisia kwasababu hii viongozi wengi ambao ndiyo wapiga kura wana muunga mkono Mbowe lakini wananchi wengi ambao hawana chama na diaspora wengi wanamuunga mkono Lissu. Hivyo ushindi wa Mbowe unaweza kuonekana mkubwa kwa wachache wanachama lakini Lissu anaumgwa mkono na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.