watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    LGE2024 Uchaguzi huu uliopita ni kuwadharau Watanzania kwa kiwango cha juu sana

    Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli. Uchaguzi huu umeonesha ni kwa jinsi gani waliopo madarakani wanavyowadharau wananchi wao. Ebu fikirini...
  2. Mike Moe

    Natafuta Watanzania waishio Dubai

    Habari za jioni wana jamii naomba msaada kwa mtanzania yeyote aishie dubai kwa mtanzania yeyote atakaye guswa kusaidia awe wakike au wakiume naomba aniambie nimtafute kupata huo msaada. Msaada ninao hitaji ni invitation letter kutoka kwa mkazi wadubai pamoja na copy ya passport yake ili niweze...
  3. M

    LGE2024 Mchungaji Msigwa: CHADEMA inajiandaa kuendeleza upotoshaji

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Peter Msigwa ametahadharisha watanzania juu ya upotoshaji unaotarajiwa kufanywa na vyama vya upinzani nchini kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza na Vyombo vya Habari Disemba 09, Msigwa amesema...
  4. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama afika Mji wa London, azungumza na Watanzania waishio Uingereza

    Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya afya nchini Tanzania. Miongoni mwa mambo waliyojadiliana katika kikao...
  5. Etugrul Bey

    Hongereni Watanzania Kwa Miaka 63 Ya Uhuru

    Kwanza tupongezane sote kwa siku hii ambayo ni kumbukizi ya Uhuru ambao wapendwa wetu walipambana kwa jasho na damu mpaka leo hii tunajitawala na kuyaendesha mambo yetu kwa utashi na uhuru kabisa bila bughudha yoyote ile. Ilikuwa ni ndoto ya waafrika wengi kutaka kuwa huru dhidi ya utawala wa...
  6. Mindyou

    Boniface Mwabukusi atoa onyo hili kwa upinzani "Umma utatafuta tumaini kwingine, watanzania sio wajinga"

    Wakuu, Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara "Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea...
  7. F

    Hili genge ni hatari kwa Watanzania

    Watanzania tuwe makini na hawa watu wanaojinadi kama chama kinachotetea maslahi ya watanzania. Chama hiki kimepoteza muelekeo na waliopo wanafanya kazi ya kulinda maslahi yao binafsi. Tumesikia huko Ghana upinzani wamechukua madaraka sijui hapa kwetu tunasubiri nini!
  8. ommytk

    Watanzania ni kwanini wepesi kwa kuchangia pesa katika jambo je ni huruma yetu au

    Watanzania ni wepesi sana kutoa mchango au kuchangia pesa jambo kwenye shida yoyote au furaha pia je ni utamaduni wetu au Mila yetu au huruma yetu yaaani unaweza zua ata kitu cha uongo ukahitaji pesa na watu bila kuhoji kutaka kujua hela inaenda tumikaje basi waanachanga bila tatizo lolote Au...
  9. mdukuzi

    Tangu tupate uhuru Mungu amejibu maombi ya watanzania mara moja tu mwaka 2021

    Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.? Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani. Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
  10. Genius Man

    Demokrasia itakapo kufa kwasababu ya watu wenye tamaa ya kupata madaraka kinyume na utaratibu watanzania wengi wenu mtaenda kufa amani itatoweka

    Maono kuelekea Tanzania isiyo ya kidemokrasia: Watanzania demokrasia nchini itakapo toweka kwasababu ya watu wenye tamaa za madaraka kinyume na utaratibu tulioweka wengi wenu mtakufa na kutekwa usalama wa taifa utazorota, huduma za msingi zitapungua na gharama za maisha zitapanda, kodi nyingi...
  11. Mtoa Taarifa

    Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

    Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii. Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya...
  12. S

    Wito kwa Watanzania wote: Ukisikia mtu anapiga kelele anatekwa tafadhali na chonde chonde toa msaada!

    Natoa wito kwa Watanzania wenzangu wote wenye upendo na kuthamini uhai na haki za binadamu wenzao. Imetokea mara kadhaa kwamba watu wanatekwa, wanapiga kelele kuomba msaada lakini watu wanaangalia tu bila kutoa msaada. Tafadhali sana, unaposikia mtu anapiga kelele kuomba msaada anatekwa...
  13. Genius Man

    Mtumishi yoyote wa serikali au polisi atakapotaka kumkamata mtu bila kufuata utaratibu wa sheria, Watanzania msikubali kukamatwa

    Kulingana na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara nchini, nitoe wito kwa watanzania wenzangu kwamba sisi kama nchi tunasheria za ukamataji na hakuna aliye juu ya sheria Endapo ukiona mtu yoyote asiejulikana au mtumishi yoyote au polisi anafanya ukamataji bila kufuata utaratibu uliowekwa wa...
  14. Political Jurist

    Malecela apongeza uimara wa CCM na Serikali zake kutumikia Watanzania

    Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa...
  15. Burure

    Jinsi Watanzania tunavyoibiwa

    Rais wa Marekani alitangaza tenda ya kufanya Painting katika jengo la White House. Na alipata nchi tatu ambazo zimeapply zabuni hiyo. Ambapo alipata kampuni ya Kichina, ya Kizungu (European) na ya Kipakistan. Mchina alibid ofa ya $ Mil3, Mzungu alibid ofa ya $ Mil7, na Mpakistan alibid ofa ya...
  16. F

    Rais Samia, ni vyema Watanzania wenye sifa za kuwa viongozi wa kimataifa wang'ae kwa umahiri wao, sio kuwang'arisha kwa nguvu ya fedha au siasa

    Dr. Faustine Ndugulile ameondoka katika kipindi ambacho alitazamiwa kuwa mkuu wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika. Ametuachia majonzi makubwa sana! Sasa tunatamani mtu mwingine achukue nafasi yake. Kwa bahati mbaya kila mtu siku hizi anaamini fedha na siasa ndio inampa mtu haki au sifa...
  17. Burure

    Watanzania wengi hatujitambui

    Tanzania ya sasa haieleweki maana hakuna agenda ambazo taifa linazishika na kupanga kufika nazo mwisho. Ni upepo tu, ukivuma kushoto ndiko hukohuko fikra zote zinaelekea. Upepo ukivuma kulia kila mtu anafikiria kulia. Ukiwa upepo ni wa Kaskazini, mijadala yote ni Kaskazi, wanaopinga Kaskazi na...
  18. B

    Nashauri iundwe Tume kuchunguza vifo hivi vya Watanzania wenzetu

    SIKU za Karibuni kumeibuka wimbi la vifo vya viongozi huku sababu za vifo vyao zikifichwa na mwisho mnawekewa ratiba ya mazishi watu wanatoa hotuba za kusisimua wanaondoka wanaziacha familia kwenye majonzi makubwa hususan watoto na wazazi. 1. Kifo cha KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi...
  19. Isaka James

    Afya ya Akili kwa Wanaume Tanzania: Tunazungumza vya Kutosha?

    Habari ndugu zangu, Afya ya akili ni mada muhimu ambayo mara nyingi haipati uzito unaostahili, hasa inapokuja kwa wanaume hapa Tanzania. Kwa jamii zetu, wanaume mara nyingi wanatarajiwa kuwa "imara" na kutokutoa hisia zao waziwazi. Hili linaweza kusababisha changamoto kubwa za afya ya akili...
  20. H

    Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

    Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe. The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Back
Top Bottom