watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Mutangi

    Ni kwanini watanzania tunapenda vitu vya bure?

    Dunia ya sasa ni dunia ya kidigitali. Vitu vingi vinapatikana mtandaoni, vingine vya bure, vingine vya kulipia. Watanzania wengi wakisikia unalipia huduma fulani mtandaoni wanakushangaa wakati ni hela ndogo tu. Kwa mfano mtu yuko tayari kuangalia ads kila baada ya dk 5 kwenye boomplay au Spotify...
  2. Kikwava

    Watanzania tunateswa na home sickness, tuutumie Utandawazi kutafuta green pastures kwenye Nchi zingine

    Habari za leo Wana forum. Kwanza kabisa naomba nichukue nafasi hii kumchukru na Kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa anazozifanya za kuimarisha maendeleo na diplomasia yetu na mataifa mengine. Naomba ndugu waTZ tujue kwamba kukua kwa diplomasia ni Ajira, heshima pia ni...
  3. Maleven

    Watanzania wana tamaa sana kwenye biashara za mtandaoni

    Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000 Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
  4. Rorscharch

    Kampuni zinazokopesha kiholela mitandaoni kufungiwa na BOT kumeepusha Watanzania na bomu la limbikizo la madeni makubwa yasiyolipika

    Maisha ya mjini, kama vile Dar es Salaam, yamejaa changamoto za kifedha, huku dharura za ghafla zikivuruga bajeti za familia nyingi. Katika miaka iliyopita, kampuni za kukopesha fedha mtandaoni zilionekana kama mkombozi wa haraka kwa wengi waliokuwa wakihitaji pesa za dharura. Hata hivyo, nyuma...
  5. T

    Pre GE2025 2025 Je, Watanzania wanahitaji Rais wa aina gani?

    Kumekuwa na nadharia nyingi sana kuelekea 2025 ndani ya chama 5 tena, kitaifa katiba ibadilishwe kuwe na tume huru ya uchaguzi tupate mtu kutoka nje ya mfumo wa CCM. Nimekuwa nikizungumza na watu tofauti nakupata nini wanakiwaza kuanzia mam ntilie mpaka mtu wa juu kabisa kimaisha. Niukweli...
  6. iamwangdamin

    Ilikuwa ni huzuni matukio ya kuaga miili Mnazi Mmoja, asanteni watanzania na viongozi wote . Poleni wafiwa .

    Poleni watanzania wenzangu , ajali iliyotokea kata ya kariakoo ndani ya wilaya ya ilala inayohusisha jenho la biashara kuporomoka na kusababisha janga kubwa ambalo limegusa mioyo ya watu nakuacha simanzi kubwa , ajali hii ni funzo kubwa na haiwezi kusahaulika. Binafsi, nilifika kuwaaga ndugu...
  7. Political Jurist

    LGE2024 Emmanuel Nchimbi: Tuna Mtaji wa Imani ya Watanzania

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  8. L

    Rais Samia amejaa Upendo na Huruma kubwa sana kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kitu tutateseka ,kuhangaika na kuchukua muda mrefu .basi ni kumpata Kiongozi Mwingine aina ya Rais Samia katika Taifa hili.Kiongozi mwenye huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania. Rais Samia Ni kiongozi ambaye anapozungumza juu ya Maisha ya watanzania...
  9. Hamduni

    LGE2024 Tuna mtaji wa imani ya Watanzania: Dkt. Nchimbi

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  10. matunduizi

    Watanzania tuache kumtumia Mungu kisiasa

    Kwa sababu hofu ya Mungu imekuwa kubwa kwa watu wengi siku hizi wameanza kumtumia Mungu kisiasa. Kunq mqma mmoja namkumbuka aliwahi kuomba hadi analia Mungu afanye miujiza ya kumpa pesa wakati pesa alikuwa nayo ya kutosha. Lengo ilikuwa ni kuwaaminisha watu wa hapo nyumbani (wageni) wajue...
  11. Pascal Mayalla

    Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024. Paskali
  12. Waufukweni

    LGE2024 Freeman Mbowe: Tutanyukana lakini hatutakigawa Chama, Hiki si Chama cha Mbowe, sio cha Lissu wala Mnyika, ni cha Watanzania wengi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amejibu maswali kuhusu madai ya mgawanyiko na mnyukano ndani ya chama hicho, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa ni jambo la kawaida katika vyama vyenye nguvu. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya kisiasa...
  13. Mganguzi

    Watanzania sio washangiliaji hata wakiingia Bure wanaenda kukaa tu nakutafuna popcorn ni afadhali tungepeleka jkt, wanafunzi wa shule zote na scout

    Watanzania ni mashololo ,ni mabishoo ni watu wasiopenda shida hawajui hamasa ila wanachojua wao ni kulaumu na Kutukana basi !tungepeleka wanafunzi wa secondary na vikundi vya hamasa vya ccm ,bendi ya TOT na twangapepeta nk
  14. mdukuzi

    Si ajabu kuna Watanzania wenzetu wanatamani wangedondokewa na kifusi Kariakoo

    Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia utadhani wako mpirani wakati jamaa alikuwa katikati ya kifo na mauti,...Wanatamani lile zari lingewatokea...
  15. mtwa mkulu

    Kauli hii ya Hayati Jomo Kenyatta inaweza kuwa kweli kuhusiana na Tanzania?

    "Waganda ni sawa na wagonjwa muda wowote wanaweza kupona na kudai haki zao" "Wakenya ni sawa na mtu aliye lala muda wowote anaweza kuamka na kudai haki yake" "Watanzania ni sawa na MAITI kamwe hawawezi kudai haki zao!!!" Kauli hii ya Mzee wetu inaukweli?
  16. Matulanya Mputa

    Watanzania 70% hawatumii mitandao ya kijamii hasa vijijini. Wapinzani, wanaharakati katoeni elimu kuhusu katiba na mfumo wa vyama

    Kuna kasumba moja ya wanasiasa hasa upinzani na wanaharakati wamekua wanaikosoa serikali, au mifumo mibaya ya uongozi, ubovu wa katiba ya sasa kupitia mitandao ya kijamii na makongamano ya wao kwa wao badala ya kuwashirikisha wananchi. Mf; Unakuta linaendeshwa kongamano la katiba au demokrasia...
  17. Yoda

    Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  18. sinza pazuri

    Clouds Media ombeni msamaha watanzania kwa kudanganya zoezi la uokoaji kariakoo limesimama

    Hii habari ni ya uongo hakuna zoezi lililositishwa hivi navyozungumza nipo kariakoo sababu mimi ni mdau hapa. Zoezi la uokoaji liandelea watu wanapiga kazi na baadhi wamefikiwa tayari. Media kama hii kubwa inapotoa upotoshaji kama huu inawaacha watu kwenye mshtuko na kukatisha watu tamaa...
  19. Rorscharch

    Maendeleo ya watanzania yanazorota kwasababu ya ushamba wa matajiri na ukosefu wa maono toka kwa Wanasiasa

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  20. BLACK MOVEMENT

    Niko Uganda, timu yao imefuzu AFCON ila sijasikia Mseveni akisifiwa wala kuongelewa

    Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa kule kwetu, nahisi mida hii tusingelala kungekuwa kuna Jam kwenye TV na radio za kuabudu na kusifia...
Back
Top Bottom