Kama ilivyo kawaida, kwa mara nyingine tena jengo lamoromoka kenya na kuua watatu. Majirani, mtaacha mpaka wafe wangapi ndiyo mdhibiti majanga haya?
Wanasema hilo jengo ni jipya kabisa. Tangu liishe halina hata mwezi mmoja. Swali langu, kwa mara nyingine, hali hii itasubiriwa mpaka iue...