watch

  1. Corticopontine

    Marekani bwana yaani yeye kuua ni ruksa ametungua juzi juzi Qasem Suleiman hakuna cha Human right watch wala Amnesty international.aliyekoroma

    Jamaa hawa kwao kuua ni sawa walimuua Gaddafi Qasem Suleiman Saddam Hussein Osama Bin Laden Wanagereza la Guantanamo yanayofanyika humo ni zaidi ya ushetani
  2. Wangari Maathai

    Uaminifu ni mtaji mzuri katika kila nyanja ya maisha

    Katika kila nyanja ya maisha uaminifu huwa ni mtaji mzuri sana ...! Hii inakupelekea kuaminika sehemu nyingi sana... Kutana na mwanamama mfanyabiashara alokutana na changamoto nyingi na ngumu sana... Lakini amekuja kufanikiwa! Ukitia nia kbs kwa dhati mafanikio utayaona! Nilichojifunza kupitia...
  3. Nigrastratatract nerve

    Jinsi Amnesty International, Human Rights Watch, UN, European Union walivyo mabubu juu ya Marekani, ndivyo huamrishwa kutimiza maslahi ya US

    Hii ni jumuiya na taasisi dhaifu kabisa zinazopokea hela chafu na nyingi kutoka USA. Zimeanzishwa kwa ajili ya kulinda masilahi ya Marekani na Washirika wake. Zimeanzishwa kuwalinda mawakala wao popote duniani; ukiwagusa unaambiwa unakiuka haki za binadamu. Mawakala wao wakitengeneza scandal...
  4. Nigrastratatract nerve

    Kila mbabe ana mbabe wake. European Union, UN, Human rights Watch na Amnesty International kwa Marekani huwa ni vikundi vya waporaji tu

    Kinachonishangaza ni kwanini mataifa mengine yako kmya juu ya mambo anayofanya marekani kwa kuchokoza mataifa madogo kisa ana nguvu ya kijeshi. Pia ndio mwanzilishi wa migogoro ya kila aina kisa rasilimali za nchi husika lakini Umoja wa mataifa wako kimya na hakuna lolote wanaongelea juu yake...
  5. CalvinKimaro

    Je, BBC Tumbili Service, Amnesty International na Human Rights Watch hili hamjui?

    Siku mbili tatu hizo zilizopita mtaalamu wa UN kuhusu haki za binadamu alitoa taarifa yake baada ya kumtembelea JULIAN ASSANGE. Ni mmiliki wa WikiLeaks ambaye kwa sasa anashikiliwa na Serikali ya Uingereza akisubiri uamuzi wa ama kumkabidhi kwa serikali ya Marekani au la. Alikamatwa mwezi April...
  6. Mystery

    Ni kwanini habari kubwa ya Amnesty International na Human Rights Watch haikutangazwa na vituo vyote vikubwa vya runinga nchini?

    Habari kubwa nchini hivi sasa ni hizi ripoti za Amnesty International na Human Rights Watch kuionya Tanzania kuhusu mwenendo wake wa kila kukicha, tokea Rais Magufuli aingie madarakani mwaka 2015, kupeleka sheria Bungeni za kukandamiza vyombo vya habari, kuziminya kampuni zisizo kuwa za...
  7. J

    Balozi Mahiga: Tumepokea ripoti za Amnesty International Human Rights watch na tutajibu kipengele kwa kipengele

    Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Mahiga amesema wameshapokea ripoti za Amnesty International na Human rights watch na wameshaanza kuzifanyia kazi. Balozi Mahiga amesema kuna baadhi ya mambo walishayatolea maelezo huko nyuma na mengine yaliyobaki watayajibu mstari kwa mstari. Dr. Mahiga...
  8. DeepMedia

    Wapi naweza kupata casio watch kama hizi?

    Habari wakuu? Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar? 1. Casio illuminator W-96H 2. Casio Telememo illuminator AW-81 Hizi zipo tofauti na zile casio za kawaida, kuna feature ya telememo ndani yake. inaweza kustore records kidogo, contacts. ina dual time, timer n.k kwa...
Back
Top Bottom