Habari wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye mada, nilikua nahitaji smart watch halisi, isiwe fake, lakini pia iwe na mwonekano mzuri, namaanisha isiwe ndogo sana. Mkinisaidia Aina ikiambana na picha itakua mzuka Sana.
Karibuni
Wanabodi
Anzia hapa
Mkuu Freed Freed , kwanza asante kwa bandiko hili.
Wanabodi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa, yaani Happy Birthday yangu, lakini pia leo ni birthday ya last born wangu ambae nae ameitwa Pasco jnr, au PiiJei, yeye alizaliwa tarehe kama ya leo last year na niliposti humu...
Hello,
Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia.
Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni, kuhukumiwa karibu miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono
Pia mwaka 2018 Taoufik Bouachrine...
Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea wito serikali ya Ukraine kuanzisha uchunguzi juu ya kile kinachoweza kuwa uhalifu wa kivita, baada ya kuibuka mkanda wa vidio unaowaonyesha wanajeshi wakiwapiga risasi miguuni wafungwa wa kivita wa Urusi.
Mkanda huo ulioanza kusambaa...
#Repost CNN @download.ins
---
FinanceBuzz will pay an individual $1,300 to watch 13 scary movies in October, in an effort to find out whether the size of a movie's budget impacts its scariness. They will monitor the person's heart rate during the films using Fitbit, the company said.
The...
Drama za Korea zimegawanyika katika theme mbalimbali ambazo zina deal moja kwa moja na maisha yetu ya kila siku. Kutuelimisha na kuburudisha pia. Drama za Korea zimegawanyika katika genre tofauti kama vile
MEDICAL, FAMILY
LAW, SCHOOL, CRIME, SAGEUK, ACTION, COMEDY, ROMANCE, BUSINESS, ROMCOMS...
Hello JF,
Mwenzenu nahisi Bunge lijalo litakuwa very interesting...
Je, watanyamaza kimya pale mambo yatakapokuwa against matarajio yao?
Pale je mambo yakifanyika bila kuwashirikisha, watakua na uthubutu wa kuhoji?
I'm sure wengine japokua mmebebwa mkapelekwa Bungeni, still kuna some of you...
Hello,
If you want an application to be able to watch sports channels in Brazil, especially football. You can download playtv geh at TechBigs
Do you know other good apps?
5 start-up hubs to watch – beyond Silicon Valley
Tel Aviv: Israel has the highest number of start-ups per capita in the world
Start-ups were once synonymous with Silicon Valley or London - but that's no longer the case.
Here we look at five...
Human Rights Watch, shirikika la kimataifa la kutetea haki za kibinadamu, limeiangazia Tz kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba.
HRW inadai kwamba kwa muda wa miezi mitatu iliyopita wanachama wa upinzani 17 na watanzania wengine waliokashifu serikali...
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch (HRW) linasema mamlaka nchini Tanzania imeongeza hatua ya ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.
Katika ripoti yake Human Rights Watch limekosoa sheria mpya...
Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT:
KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?
Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu;
Wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA);
Marafiki wa Jamhuri ya...
Shirika la kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch linataka uchunguzi ufanywe kubaini chanzo cha kifo cha mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili nchini Rwanda, Kizito Mihigo.
Mkurugenzi wa shirika hilo katika kanda ya Afrika ya kati Lewis Mudge, ameiambia BBC kuwa shirika hilo linatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.