Niende kwenye mada mojakwamoja Nimestack wakuu mimi najishughulisha na kusupply vifaa mbalimbali.
Sasa toka mwezi October nilianza kufanya usambazaji wa bidhaa kwa wateja ila hadi kufika mwezi huu oda zimekuwa nyingi kuzidi mtaji na teyari nimepokea oda mpya na nimehadi kupeleka bidhaa kwa...
Watu tunaamua basi angalau tujiunge bundle ya mwezi mzima kwa Huduma ya Post Paid. Ninyi mnaiba data.
Sielewi yaani ku browse JF tu na Whatsapp ambako sijadownload kitu kwa siku inakatika 2+GB? C'mon guys watanzania si wajinga kihivyo.
Tuheshimiane please mimi siyo layman wa matumizi ya simu...
Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu.
Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha.
Tukio lenyewe...
Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata!
Cha msingi lengo ni huduma bora!
Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona!
Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Novemba 14, 2022.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya...
Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
Hello wadau!!
Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa.
Straight to the topic
Miaka ya nyuma kidogo hiyo siku ilianza vizuri TU ila mishale ya saa 7 hivi nikapokea taarifa...
Nimekuwa nikiona sehemu nyingi watu wanalalamikia mitandao ya simu kuongeza bei za vifurushi, hii sio sawa, tunalalamikia 2 badala ya kulalamimikia chanzo cha 1+1.
Ni kama vile gharama za mafuta zikipanda basi nauli nazo zinapanda, si haki kuwalaumu wafanya biashara wenye mabasi.
Ndivyo ilivyo...
Hii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu...
Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao.
Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
Wanasheria kuweni na huruma, you should not be driven by money! Mshauri mteja na ikibidi kataa kuichukua kesi kuwa hii completely huwezi kushinda.
Someni muone walivyo shyster lawyers hawa mawakili wetu
Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao.
Wateja walioathiriwa na kuvuja kwa taarifa hizo ni kutoka duniani kote na hasa waliojiandikisha kwenye...
Kuna wateja ukiwaandikia bei yoyote hawajawahi kubisha. Wao huiitaji jumla tu walipie.
Wateja wengi vijana wenye hela hawapendezi sana. Wengi huvaa kawaida. Ukiona ameng'aa sana jua hamna hela.
Mabodaboda wakitumwa dukani, wao ni kulipia uwe umempiga bei au la!
Kuuzia wanawake wenye kipato...
Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali.
Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi.
Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa.
Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
MADALALI WA VYUMBA MAJUKUMU YAO KUSIMAMIWA NA MWENYEKITI WA MTAA ILI KUPATA SULUHISHO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA MADALALI PAMOJA NA WATEJA WAO KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU.
Madalali ni watu ambao wanarahisisha shughuli za mahitaji ya watu kwa urahisi kwa kuwa daraja baina ya mwenye...
Utangulizi
Ili uweze kufanikiwa katika jambo lolote lile, ni lazima ufuate kanuni na taratibu zitakazokuwezesha kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hakuna mafanikio yasiyokuwa na utaratibu au kanuni. Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi mnaowaona wamefanikiwa katika biashara wamepitia njia...
Hii amri ya abiria toka mikoani kushushwa Mbezi mbona hatupewi ukweli, siku zilizopita ilidaiwa mkuu wa mkoa alilalamikiwa na wafanyabiashara kuwa wanakosa wateja!
Hivi sasa tunaambiwa eti ni usalama kudhibiti wahamiaji! Kwani wahamiaji hawawezi kushuka au kupanda Kibaha au Bagamoyo! Mabasi ni...
Habari zenu my virtual family(JF)
Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini...
Nikienda duka lingine labda nkamkuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.