wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri: Oda za wateja zimezidi mtaji nilionao

    Niende kwenye mada mojakwamoja Nimestack wakuu mimi najishughulisha na kusupply vifaa mbalimbali. Sasa toka mwezi October nilianza kufanya usambazaji wa bidhaa kwa wateja ila hadi kufika mwezi huu oda zimekuwa nyingi kuzidi mtaji na teyari nimepokea oda mpya na nimehadi kupeleka bidhaa kwa...
  2. Tigo acheni wizi kwenye huduma ya PostPaid

    Watu tunaamua basi angalau tujiunge bundle ya mwezi mzima kwa Huduma ya Post Paid. Ninyi mnaiba data. Sielewi yaani ku browse JF tu na Whatsapp ambako sijadownload kitu kwa siku inakatika 2+GB? C'mon guys watanzania si wajinga kihivyo. Tuheshimiane please mimi siyo layman wa matumizi ya simu...
  3. Taadhari Kuna Wizi wa pesa katika Baadhi ya benki zetu kupitia huduma za Kibenki kwa njia ya simu. Wateja wa benki tuchukue taadhari. Mamlaka Ziamke!

    Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu. Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha. Tukio lenyewe...
  4. D

    Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

    Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata! Cha msingi lengo ni huduma bora! Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona! Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
  5. B

    Benki ya CRDB yaendesha semina kwa wateja wake wa mkoa wa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Novemba 14, 2022. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya...
  6. L

    Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  7. Ni wateja Gani ulikutana nao wakakupa changamoto? Wa kwangu huyu hapa

    Hello wadau!! Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa. Straight to the topic Miaka ya nyuma kidogo hiyo siku ilianza vizuri TU ila mishale ya saa 7 hivi nikapokea taarifa...
  8. Serikali ndio ya kulalamikiwa, Mitandao ya simu inafidia gharama zinazoongezwa na Serikali kwa kupandisha bei vifurushi

    Nimekuwa nikiona sehemu nyingi watu wanalalamikia mitandao ya simu kuongeza bei za vifurushi, hii sio sawa, tunalalamikia 2 badala ya kulalamimikia chanzo cha 1+1. Ni kama vile gharama za mafuta zikipanda basi nauli nazo zinapanda, si haki kuwalaumu wafanya biashara wenye mabasi. Ndivyo ilivyo...
  9. Domant phone numbers wanazogawiwa wateja wapya

    Hii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu...
  10. Wakenya wapewa saa 24 kukamilisha usajili wa line kabla ya kuzimiwa mawasiliano

    Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao. Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
  11. R

    Mawakili kuweni sincere na wateja wenu, kuweni wakweli, kweli hii application kwa wakili wa Court of appeal unaweza kuikubali kuiendesha

    Wanasheria kuweni na huruma, you should not be driven by money! Mshauri mteja na ikibidi kataa kuichukua kesi kuwa hii completely huwezi kushinda. Someni muone walivyo shyster lawyers hawa mawakili wetu
  12. Toyota yasema taarifa binafsi za wateja wake 296,000 zimedukuliwa

    Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao. Wateja walioathiriwa na kuvuja kwa taarifa hizo ni kutoka duniani kote na hasa waliojiandikisha kwenye...
  13. Taja sifa za wateja wako zinazofurahisha

    Kuna wateja ukiwaandikia bei yoyote hawajawahi kubisha. Wao huiitaji jumla tu walipie. Wateja wengi vijana wenye hela hawapendezi sana. Wengi huvaa kawaida. Ukiona ameng'aa sana jua hamna hela. Mabodaboda wakitumwa dukani, wao ni kulipia uwe umempiga bei au la! Kuuzia wanawake wenye kipato...
  14. Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja

    Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali. Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
  15. R

    Benki ya Posta kwanini risiti za ATM hazioneshi salio? Nina wasiwasi hamtaki kuonesha mmetuibia tozo kiasi gani

    Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi. Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa. Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
  16. Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

    Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
  17. SoC02 Madalali wa vyumba kusimamiwa na Mwenyekiti wa Mtaa na shughuli zao kufanya kwa teknolojia kuondoa changamoto zinazowakumba wao na wateja wao

    MADALALI WA VYUMBA MAJUKUMU YAO KUSIMAMIWA NA MWENYEKITI WA MTAA ILI KUPATA SULUHISHO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA MADALALI PAMOJA NA WATEJA WAO KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU. Madalali ni watu ambao wanarahisisha shughuli za mahitaji ya watu kwa urahisi kwa kuwa daraja baina ya mwenye...
  18. SoC02 Namna ya kukidhi matakwa ya wateja na kufanikiwa katika biashara

    Utangulizi Ili uweze kufanikiwa katika jambo lolote lile, ni lazima ufuate kanuni na taratibu zitakazokuwezesha kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hakuna mafanikio yasiyokuwa na utaratibu au kanuni. Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi mnaowaona wamefanikiwa katika biashara wamepitia njia...
  19. Abiria kulazimishwa kuteremka Kituo cha Mbezi tuliambiwa Wafanyabiashara walilalamika kukosa wateja, leo mmh!

    Hii amri ya abiria toka mikoani kushushwa Mbezi mbona hatupewi ukweli, siku zilizopita ilidaiwa mkuu wa mkoa alilalamikiwa na wafanyabiashara kuwa wanakosa wateja! Hivi sasa tunaambiwa eti ni usalama kudhibiti wahamiaji! Kwani wahamiaji hawawezi kushuka au kupanda Kibaha au Bagamoyo! Mabasi ni...
  20. Wanawake wanaouza maduka ie...k/koo wanazidisha bei(over pricing) kwa wateja wanaume

    Habari zenu my virtual family(JF) Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini... Nikienda duka lingine labda nkamkuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…