Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
Wakuu,
Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji.
Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena basi Wacha maandiko yatimie lakini hawezi kuacha kuzungumza.
Msikilize mwenyewe hapo chini...
Sasa tumshukuru nani Bashungwa kwa kutosikia utekaji maana kitambo hatujasikia kelele kwamba huyu ametekwa sasa tumshukuru huyu waziri mteule wa mambo ya ndani kwa kufanikisha hili au wale watekaji au wachora ramani wapo bize na uchaguzi wa ndani? Na je uchaguzi ukiisha tutegemee utekaji ukianza...
Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe.
Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
dhidi
kiongozi
kiongozi mkubwa
lissu
mbowe
mipango
mkubwa
mmoja
mtu
mtu mmoja
nchini
tundu
tundu lissu
wanataka
wasiojulikana
watekaji
watu wasiojulikana
yangu
Hivi karibuni kumekuwa na vitendo vya utekaji, utesaji na hata mauaji. Wengi tumekuwa tukiishia kulalamika tu bila kuchukua hatua madhubuti. Kuanzia leo naomba kila Mtanzania/Watanzania tujitahidi kujihami.
Kila mmoja awe na chochote kinachoweza kumsaidia kujihami na watekaji. Mimi naamini...
Wakuu,
Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:
"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa...
Gari ya serikali namba STL 9923, Usiku huu imeshambuliwa kwa mawe na wananchi wenye hasira butu, na watumishi waliokuwemo ndani wameumizwa.
Chanzo cha kizaa zaa hicho inasemekana hilo gari la serikali lilikua linaifuatilia gari nyingine ndogo aina ya BMW.
Baada ya kufika maeneo ya tegeta kwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri.
Pia soma: Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa...
Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji .
Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania siyo ya kuaminika katika suala hili, Kiufupi imeshindwa kusimamia usalama wa raia. Wananchi wamepiga...
Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo!
"Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi.
Waliojaribu kumteka...
Kutoka Mtandao wa X (Twitter)
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)
Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)
Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba...
Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu.
Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maafisa halisi wa upelelezi au polisi hawatawahi kuomba ushirikiano...
Paul Getty, huyu ndio mmoja ya wawekezaji wa kwanza kuvuta mafuta Saudi Arabia miaka hio bado ni nchi isio na maendeleo makubwa.
Mwanzoni Waandishi walivyomuuliza kwa nini hataki kutoa ransom alijibu hivi
"Nina wajukuu kumi nne. Kama nikitoa pesa ya huyu mmoja basi 14 wengine watatekwa"...
Msanii tajwa anajipigia promo ili 2025 agombee ubunge kupitia jimbo la Ubungo. 2025-2055 Ni Professor Kitila Mkumbo (PhD) CCM tu.
https://m.youtube.com/watch?v=wMdB_2ZLgy4&pp=ygUWbml0YXNlbWEgbmV5IHdhIG1pdGVnbw%3D%3D
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.
Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
Katibu Mkuu alizungumza vizuri kwa maslahi ya chama na umma. Aliamini vyombo vya ulinzi vina makosa, ama kwa kuhusika moja kwa moja kama wanavyoshutumiwa au kwa kutotekeleza wajibu. Mwenyekiti yeye anawatetea vyombo (100%) tu na kuwalaumu wahanga na umma unaodai haki kutendeka!
The logic is...
Sio punde tutaona badala ya Polisi kutafuta wauaji wataanza kuwafuata viongozi wa Chadema majumbani kwao na kuwateka ili tu wasiende kwenye maandamano.
Kwasababu wanajua hilo ni wakati wa kuweka kamera na kuwaita waandishi wa habari msije kutekwa kwa namna hiyo.
Huu ni ushauri tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.