watoto kuwatunza wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tarimba Abbas ataka sheria ya lazima watoto kutunza wazazi wao

    Mbunge wa Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas amesema Serikali haioni haja ya kuweka sharti la kisheria la watoto wakubwa kuwatunza wazazi wao wasiojiweza. Akizungumza Bungeni Leo Jumatano Januari 28,2025 Tarimba amesema katika mataifa mengine kuna sheria za lazima kwa watoto kuwalea wazazi wao...
Back
Top Bottom