watoto wa marais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Marais Afrika: Je, ni Vipaji Binafsi au ni ‘Mbeleko’ ya Madaraka?

    Nimekutana hii list huko mitanaoni ikijadili ongezeko la Mabinti wa marais wa Afrika kushika nafasi za juu za kiserikali au kidiplomasia. Huu mjadala pia umewekwa na TRT Afrika ukinaonyesha orodha za mabinti wa maraisi ambao wnashika nafasi nyeti kwenye utawala wa wazazi wao. Orodha imekuwa na...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Hivi ndiyo watoto wa marais Afrika wanavyochipukia na kuwa na vyeo, matajiri wa kutisha

    Imekuwa kawaida kwa watoto wa viongozi hasa marais kuchipukia na kuwa na nafasi karibu na wazazi wao au kuwa na utajiri wa kutisha ndani ya muda mfupi. Bellarmine Mugabe Bellarmine Chatunga Mugabe, mtoto wa tatu wa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amejikuta matatizo baada ya...
  3. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Kuvuma kwa watoto wa Marais Awamu ya Nne na ya Sita Taasisi ya Urais haioni kama inatia aibu?

    Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi! Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere, Mzee Mkapa na John Magufuli waliwezaje kutenganisha uraisi na familia zao?

    Kuna kelele zinaendelea mitandaoni kuhusu mtoto wa Rais aitwaye Abdul. Kelele hizi japo hazina ukweli wala uthibitisho ila zina kila dalili ya kuwa na uhalisia kwa kiasi flani Kelele zilianza Abdul alipokwenda Uganda Uganda na kupokelewa kama kiongozi wa kitaifa. Watu walihoji. Kwa sasa...
Back
Top Bottom