Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi!
Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila...
Kuna kelele zinaendelea mitandaoni kuhusu mtoto wa Rais aitwaye Abdul. Kelele hizi japo hazina ukweli wala uthibitisho ila zina kila dalili ya kuwa na uhalisia kwa kiasi flani
Kelele zilianza Abdul alipokwenda Uganda Uganda na kupokelewa kama kiongozi wa kitaifa. Watu walihoji.
Kwa sasa...