watoto wenye ulemavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Pengo la uwajibikaji na changamoto ya miundombinu kwa watoto wenye ulemavu katika shule za Mwanza

    Katika shule za msingi na sekondari mkoani Mwanza, watoto wenye ulemavu bado wanakabiliwa na mazingira ya kujifunzia yasiyo rafiki, kutoka vyoo visivyofikika hadi madarasa yasiyo na njia salama za kupita. Hali hii imeendelea kujitokeza licha ya uwepo wa sera na sheria zinazotambua haki ya watoto...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Miundombinu duni yakwaza elimu kwa Watoto wenye ulemavu Mkoani Mwanza

    Mwanza. “Changamoto ya ngazi na vyoo, halafu kuna mawe, kwa hiyo ukienda vibaya unaweza kujikwaa. Katika ufaulu mtu asipofikisha wastani wa 64, anapata viboko, wakati huku mwanzo hajapata vitabu vya kutosha.” Kauli ya Joasen Julius, mwenye ulemavu wa miguu na kuzungumza, ikiweka wazi uhalisia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwalinda Watoto wenye ulemavu katika dunia ya kidigitali?

    Dunia kwa sasa inapitia mapindizu makubwa ya kidijitali, watoto limekuwa miongoni mwa kundi muhimu ambalo linastahili kulindwa na kuongozwa katika suala zima la matumizi ya kidijitali. Zaidi ya wadau mbalimbali kusisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto katika wakati huu wa mapinduzi ya kidijitali...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Watoto Wenye Ulemavu Kuwezeshwa Kuwa Washiriki Hai Katika Jamii Zao Na Kuishi Maisha Bora

    Ni muhimu kwa watu wenye ulemavu kuwa washiriki hai katika jamii zao na kuishi maisha yenye kuridhisha. Mkataba wa Haki za Watu Wenye Ulemavu unasema kuwa watu wenye ulemavu wana haki ya kushiriki kikamilifu katika jamii. Watoto na watu wazima wenye ulemavu mara nyingi hukabiliwa na ubaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…