watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  2. Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
  3. Tabia gani uliyonayo ambayo hutamani watoto wako wairithi kutoka kwako?

    Kila mtu ana tabia ambayo hata yeye mwenyewe haipendi lakini anajikuta anaitenda wakati mwingine bila hata kupenda. Kwa upande wangu mimi nina hasira kali mno, yani mtu akinikwaza natamani nimmeze mzima mzima, Huwa namuomba Mungu wanangu wasirithi tabia hii, kwa sababu waswahili walisema hasira...
  4. J

    Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani

    Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani Maandiko Yanasemaje 1. Katika Wakolosai 3:20, maandiko yanasema: "Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana". 2. Lakini katika Luka 14:26, Yesu alisema: "Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na...
  5. Kati ya Januari - Februari 2025 simu 169 zimepigwa kuripoti matukio ya Ukatili kwa Watoto Nchini

    TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu waandishi wa habari Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
  6. Watoto wapiga dufu kuomba ovyo kipindi cha mwezi Ramadan ni utamaduni wa ovyo

    Kuna utamaduni umekuwepo wa kuwatumia watoto kuomba omba na vigoma vyao hasa katika mwezi Ramadhani Huu ni udhalilishaji wa watoto wadogo na kuwajengea fikra duni za kuomba omba Dr Gwajima Toka ofsini wasaidie hawa Watoto wanaomba omba waende shule wapate maarifa yake kuwafata baadaye kwenye...
  7. Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

    Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana? Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
  8. Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  9. Pot ya watoto wa kijijini! Shikamoo akina mama!

    Mliozaliwa mjini, hapo mtoto anafanya nini? Malezi ni yaleyale tu! Tukutane shelli! 😀
  10. Hivi ni kabila la kirangi pekee linaloongoza kwa mabinti kumpeleka watoto kulelewa na Bibi zao vijijini baada ya kukorofoshana na waliowapa mimba?

    Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
  11. Je kuna ulazima kwa kuwatoboa pua na masikio watoto wachanga?

    Hii ni moja ya mada inayozungumzwa sana baina ya watu, na ina maoni tofauti kutokana na mtazamo wa mtu na mtu. Tunafahamu kuwa ni wazi suala la malezi ya watoto katika kipindi hiki yamebakia kwa wazazi wenyewe huku athari zikiwa ni kwa jamii, tofauti na zamani ambapo mtu mwenye umri na rika...
  12. T

    Queen Sendiga awachana watoto wa 2000, hawajishughulishi na kazi za nyumbani

    Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
  13. Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

    Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule. Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu...
  14. B

    KAMA WAZAZI NA PIA WATOTO KUNA LA KUJIFUNZA HAPA.

    Hii clip imenifikirisha sn km mzazi na km mtoto kwa wazazi wangu. Ndiyo maana nikaileta hapa ili wengine nao wapate kujifunza jambo. NB. Tuchangie hoja km wazazi au watoto wa wazazi wetu siyo kuingiza mahaba ya u SIMBA au YANGA. Kuna somo kubwa sn hapa.
  15. Kwanini wanyama huwa wanakula watoto wao wadhaifu mara baada ya kuzaa?

    Habari wanajukwaa! Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa paka, mbwa, fisi pamoja na wanyama wengine, kwani ni vigumu sana kuona amezaa na kukuta vitoto vyake...
  16. Kuishi na Mwanamke na kuzaa naye watoto Si Mke ni Mzinzi Mwenzio,Funga ndoa Utalindwa!

    Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa. Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha! Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'. Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
  17. N

    TikTok inachunguzwa jinsi inavyotumia data ya watoto. Pia inahusishwa na watoto kucheza uchi Kenya

    Kampuni kubwa ya mitandao ya kijamii ya TikTok inachunguzwa jinsi inavyotumia data za watoto - kwani uchunguzi tofauti ulidai kuwa ilikuwa ikipata pesa kutokana na maonyesho ya ngono yanayorushwa moja kwa moja na wasichana wenye umri wa miaka 15 pekee. Jukwaa la video linalomilikiwa na Uchina...
  18. RC Shinyanga apiga marufuku Watoto kutumikishwa mashambani, ataka wapelekwe Shuleni

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amepiga marufuku wazazi na walezi kuwatumikisha watoto mashambani na kuchunga mifugo badala ya kuwapeleka shule. Msingi wa kauli ya Macha ni kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kusoma wanaandikishwa na wanahudhuria shuleni, akidokeza kuwa...
  19. Wanawake muelewe; kwa Sisi Wanaume watoto wote sio Sawa. Tunawapenda na kubariki wale wanaotusikiliza

    WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini linapokuja suala la Upendo wa Baba kwa Mtoto ni kipengele kingine. Yaani Baba kusema sasa huyu ndiye mtoto...
  20. Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumeite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…