watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Magical power

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  2. Jaji Mfawidhi

    Australia: Serikali kupiga marufuku watoto chini ya 18 kuwa na Insta, X, Facebook na Tiktok?

    Serikali ya Australia imeonyesha njia baada ya kupiga marufuku mtoto chini ya miaka 16 kuwa na akaunti ya. mitandao ya kijamii ili kulinda maadili. Nimezungumza na maelfu ya wazazi, babu na nyanya, shangazi na wajomba. Wao, kama mimi, wana wasiwasi kuhusu usalama wa watoto wetu mtandaoni...
  3. Shanily

    Tunawezaje kuwalinda watoto wetu dhidi ya maudhui yasiyofaa kwenye TV?

    Kama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki. Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu ambao Bado hawajajua kuchanganua mambo. Kuna muda unataka uangalie zako tamthilia nawao hao wapo hapo...
  4. Magical power

    Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?

    Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"? Enzi hizo hamna T.V. kwa hiyo, watoto wanajibunia michezo mbali mbali... 'Tupinge kisikio poo!" 😂😂😂 Unamvizia rafiki yako asubui tu, "KISIKIO POO!" Kama ni jumapili, unavuta sikio lake kwa nyuma na...
  5. Down To Earth

    Umemtambua nani kwenye hii picha? watoto wa 2000 tulieni kwanza

    Taja mmoja pita ukae... watoto wa 2000 hawaelewi kitu hapa
  6. B

    Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

    Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa. Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato. Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Watoto wafundishwe; nature inamtaka mhanga ajihami kwani ndiye anayepata madhara

    WATOTO WAFUNDISHWE; NATURE INAMTAKA MHANGA NDIYE AJIHAMI KWANI YEYE NDIYE ANAYEPATA MADHARA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika Jambo lolote lazima uangalie Nafasi yako ni Ipi. Je wewe ni mshika mpini au mshika Makali. Je wewe ni Mhanga au unayesababisha madhara. Hii itakusaidia kuishi Kwa...
  8. Fortilo

    Wamachame wamesusa shule za umma? Au uzazi wa kisasa? Watoto ni chini ya 25 kwa Darasa karibu shule zote wilaya ya Hai

    Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi. Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo.. Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago, Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20 Kuna shule nyingi...
  9. Down To Earth

    Unailindaje TV yako kutoka kwenye uharibifu wa watoto wadogo?

    Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake. Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa...
  10. J

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums

    DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
  11. robbyr

    Walimu tusitumie madhaifu ya wazazi kutukana watoto pale wanapokosea

    Picha: Pinterest Upendo wa mwalimu si kumfundisha mtoto tu bali hata kulinda heshima na hisia za mtoto kwa kuweka siri au faragha za wazazi wake. Usitumie makosa ya mtoto na kufananisha na matendo ya mzazi au wazazi wake hasa yale ambayo si chanya kwenye jamii kwani kwa picha yake na jinsi...
  12. mdukuzi

    Kofi moja tu akasema watoto sio wangu

    Ugomvi ugomvi piga ngumi piga mateke nikamuotea kofi moja tu Akapiga kelele hatari na kuropoka ,naondoka na wanangu,nikamwambia haondoki mtoto hapa akajibu,thubutu......naondoka nao, kwanza sio watoto wako,una jeuri ya kuzaa watoto wazuri hivyo,hujioni hilo komwe. Akaondoka kweli ila wazazi...
  13. JanguKamaJangu

    LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

    Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
  14. Chakaza

    LGE2024 Kuwashirikisha Watoto Wizi, CCM mnaharibu Taifa lijalo

    Mnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia. Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha? Jee hii CCM inayofanya mambo...
  15. appoh

    Orodha ya wasanii wa Kiume wasio na Watoto

    1.Jb jerusalem 2.jux 3.piere liquid 4.omy dimpoz 5. Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
  16. Kunguru Mjanja

    Uzi Maalum: Wazazi tujuzane games na cartoons zisizofaa kwa Watoto wetu ili tuwalinde na kuwasaidia

    Leo nimekaa nimewaza sana kuna games watoto wetu wanacheza siku hizi ila nyingi zina hatari sana. Games nyingi siku hizi wanacheza online na zinawakutanisha na watu wasio wajua kabisa. Hii ni hatari sana Lakini pia siku hizi haya hizi games na cartoons zimekuwa na maudhuni ya ajabu mengi...
  17. Yoda

    Nani wa kulaumiwa kati ya wazazi au watoto ikiwa nyumbani kwa wazazi kuna hali duni?

    Huwa kunakuwa na maneno mengi sana kwa watu wanaoishi mjini wakiwa na mafanikio hata kidogo huku nyumbani kwao kukiwa bado duni mfano bila nyumba nzuri ya wazazi. Hiii hutokea rafiki zao wanapofika nyumbani kwao kwa sababu mbalimbali lakini hasa wakati wa msiba, hapo utasikia "Huyu jamaa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake wengi huondoka na Watoto wakidhani Wanaume watawafuata. Sijui nani aliwadanganya kuwa Mwanaume mtego wake ni Mtoto.

    WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo. Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanamke...
  19. G

    Wanaume! Ukiona unazaa watoto wasiofanana na wewe ujue mkeo ni kicheche ama alikuwa kicheche.

    Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao. Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
  20. econonist

    Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
Back
Top Bottom