watu kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kutoka ofisi ya DCI yatumwa kuchunguza Mauaji ya Ali Kibao wa CHADEMA

    Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani. Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu...
  2. sifi leo

    Viongozi WA Dini, Barile na wenzako, umoja wa Madakitari kuweni kimnya mpaka muuwawe nyinyi ndo mtasema?

    Ninalia ninalia naililia Tanzania Sifi Leo Nina lia Nina lia naililia Tanzania Sifi Leo nampeleka kilio changu kwa umoja wa wanahabari Tanzania mnasubilia Nini kuungana na chadema kupinga kumteka na kuua mtu? Mpaka mtekwe nyinyi muuawe ndo mseme au mtoe tamko? Najiuliza kwa habari za kusifu...
  3. J

    Zitto Kabwe: Haikubaliki , Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea/Kutekwa na Kuuawa!

    Zitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake Hakuna Taifa Bila Watu Zitto Kabwe amehuzunika ukurasani X Baada ya taarifa za msaidizi wa Mnyika Soma Pia: Ally Hapi...
  4. ngara23

    Jeshi la Polisi lijisafishe kwa Watanzania kwa tuhuma za kukosa uadilifu

    Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri Mfano Jeshi la wananchi JWTZ linatimiza majukumu yake ya kulinda mipaka ya nchi na linaheshimika sana na...
  5. figganigga

    Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
  6. Mdude_Nyagali

    8 September, 2024 ni siku ya Maombi ya Kitaifa kuwaombea waliotekwa

    Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza. Wayahudi hao walikuwa wametapakaa nchi zote za mashariki ya kati wakitumikishwa kazi mbalimbali. Hata baada ya ufalme wa...
  7. Selwa

    Nahisi Watu kupotea ovyo inatokana na Sababu 3 tu!

    Habari wakuu, Mimi nimefuatilia kwa muda idadi ya watu wanaopotea nchini nikabaini mambo matatu. Kuna masuala inabidi Wizara ya Mambo ya ndani isimame na kuanzisha kitengo ambacho kitasafisha jeshi ka polisi. Jamani watu wanapotea kwasababu 3 tu 1. Ushirikina, tunaingia mwaka uchaguzi nadhani...
  8. Erythrocyte

    Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

    Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni...
  9. J

    Tulilikataa agizo la Magufuli la kuzuia mikutano ya siasa hadi nyakati za Uchaguzi, sasa mambo ya Utekaji ya enzi za akina Dk. Ulimboka yamerudi!

    Demokrasia ya Tanzania bado ni changa na kuvumiliana Siasani kuko very limited Mikutano ya Kisiasa huamsha hisia, mihemko na Mijadala isiyo na tija kwa Wananchi hivyo kuwapotezea Muda wao wa kuzalisha na kujipatia kipato Ndio Sababu wakati wa katazo la Mikutano ya holela ya Wanasiasa nchi...
  10. milele amina

    DOKEZO Mfanyabiashara wa Magari, Gideon Mlokozi Mashankara amepotea

    Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30, mkazi wa Tabata Segerea, Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku ya saba leo baada ya kutekwa na kupotezwa. Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa...
  11. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Ally Hapi akemea tabia watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amekemea tabia inayoindelea kwa sasa ya watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu na kuibua maswali mengi yasiyo na majibu katika jamii. Hapi ametoa kauli hiyo akiwa wilayani...
  12. The Palm Beach

    Wananchi tutumie mbinu hizi kujilinda dhidi ya "Watu Wasiojulikana"

    Jeshi la polisi [TANPOL] lenye jukumu la kikatiba na kisheria kulinda usalama wa raia na mali zao limekana kuhusika na ukamataji wa watu hovyo nje ya utaratibu wa kisheria kisha kuwapeleka kusikojulikana, kuwatesa na baadae kuwaua na kutupa miili yao porini au nyikani. Kama ndiyo hivi, maana...
  13. I

    Ufafanuzi wa Kisheria kuhusiana na utekaji unaoendelea

    Masuala yanayohusiana na utekaji nyara wa watu yanapovihusisha vyombo vya dola kama polisi, huibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki za binadamu, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa mamlaka. Katika muktadha wa Tanzania, kama kuna madai kama hayo, ni muhimu kufuatilia kwa karibu taarifa rasmi na...
  14. Accumen Mo

    kwa nini ishu ya watu kutekwa lawama haziendi kwa waziri husika bali ni Raisi moja kwa moja ? Mbona umeme na bando walikuwa wakilaumiwa Makamba& Nape

    Wasalaam wanaJf , Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape. Swali langu ni hilo !
  15. Bila bila

    Serikali ilipobariki mchezo wa Kuteka na kupoteza wakosoaji, Wahuni nao wakaona hii ndiyo nafasi

    Baba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa kiume. Hiki ndicho kilichotokea kwenye sakata la Singida na mengine ambayo serikali inayavumbua na...
  16. J

    Enzi za Nyerere Mtu akipotea tulikuwa tunaenda kuripoti Kwa Mkuu wa Wilaya ambaye atatuma Vyombo vyake kumtafuta!

    Kuna baadhi ya mambo yalikuwa mazuri sana wakati wa Mwalimu Nyerere au tuseme enzi za Chama kimoja Mkuu wa Wilaya alikuwa ni Mlezi siyo Mtawala hivyo alihusika kuratibu Ustawi wa Jamii katika Wilaya yake na ikionekana mtu Mmoja hajulikani alipo taarifa ilipelekwa kwake Ahsanteni 🐼
  17. USSR

    Simulizi kuhusu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha Tanzania 2023/24

    Nimesoma kwa masikitiko taarifa za siri za watu kutekwa nyara kuuwawa na watu wanajitambulisha kuwa polisi kwenye website ya BBC Swahili. Taarifa ilikusanywa na mwanahabari Samy Awami na timu yake ,Samy ni mtanzania mwenzetu amefanya kazi kubwa nawaomba moderators wauweke hapa. ===========...
  18. Hismastersvoice

    Kukomesha utekaji serikali ipige marufuku vikundi hivi vya kisiasa kama itaweza

    Tumekua tukishuhudia utekaji wa watu nchini vikifanywa na eti wasiojulikana! Hawa wasiojulikana ni watanzania ambao huenda wamejiambatanisha na vyama vya siasa, hata hivyo ni CCM tu ndiyo ina vikundi vinavyojulikana kama Chawa, Uhamasishaji, Wadudu na Green Guard(Umoja wa vijana), hawa huenda...
  19. Abdul Said Naumanga

    TLS, yatoa orodha ya watu waliopotea na kutekwa na tamko juu ya ongezeko la vitendo vya utekaji na upoteaji wa watu nchini

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) kikiongozwa na wakili Boniface A.K Mwabukusi kimetoa tamko zito lililoweka wazi hali ya kusikitisha inayolikumba taifa. Kwa mujibu wa tamko hilo, kumekuwa na ongezeko la matukio ya kutekwa, kupotea, na kuteswa kwa watu nchini...
  20. J

    Zitto Kabwe ampinga Waziri Masauni, asema Utekaji upo na unaendelea hivyo Waziri aukomeshe!

    Zitto Kabwe amemtaka waziri Masauni atembelee vijiji vya Kidegye, Heru Ushingo na Katanga wilayani Kasulu akashuhudie madhila ya Utekaji Zitto Kabwe amelalamika ukurasani X Ahsante 🐼 Pia soma - Tamko la Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu madai ya kusambaa kwa matukio ya utekaji wa...
Back
Top Bottom