Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali!
Baada ya Kifo cha Magufuli wengi...
Jukumu kubwa kabisa la Polisi nchini, ni kuwalinda raia wake na Mali zao.
Inapotokea raia mbalimbali, wanapotea bila serikali yetu kutoa maelezo yoyote kuhusu kupotea huko, tafsiri yake ni kuwa wananchi tutaamini kuwa serikali yenyewe ndiyo inahusika.
Tumeshuhudia Kwa miezi kadhaa iliyopita...
Naitwa Clement Nkwabi mkazi wa Geita. Napenda kukushirikisha suala la mdogo wangu Joel Raphael Nkwabi. Tarehe 15/12/2023 majira ya saa 2 usiku alienda kuangalia mpira lakini hakurudi. Tar.16 asubuhi mke wake alipigiwa simu na namba mpya. Kupokea ilikua sauti ya mumewe akimjulisha kuwa amelazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.