Salaam,
Yaani watu Mikoani wanajua maisha ya Dar ni sawa na walikotoka.
Ndugu anakupigia simu Jumatano saa tano asubuhi. Anakuambia ukamuone kafikia Tegeta, hapo wewe unaishi Gongo la mboto na kazi unafanya Chanika.
Usipoenda utalaumiwa mwaka mzima.
Basi mumekutana, anaanza...