Wakuu,
Kamanda Mulilo amezungumza kuthibitisha hili kuwa kijana amepatikana kigamboni.
Alionekana hayuko vizuri wakampeleka hospitali, vipimo vikaonesha yuko vizuri, hana madhara yoyote.
Amesema alikuwa na watu anaofahamiana nao wakiwa na mazungumzo ya kibiashara, alipewa kinywaji, baadaye...