watuhumiwa mwanza 98

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Polisi mwanza inawashikilia watuhumiwa 98 kwa makosa mbalimbali

    MWANZA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu 98 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali ya jinai, yakiwemo hujuma dhidi ya miundombinu ya umeme, uvunjaji wa nyumba, wizi, biashara haramu ya pombe ya moshi na dawa za kulevya. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya...
Back
Top Bottom