wauawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Burkina Faso: Zaidi ya Watu 10 wauawa katika shambulio msikitini

    Zaidi ya Watu wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa msikitini katika Mji wa Natiaboani siku ambayo pia iliripotiwa Watu 15 kuuawa kwa kushambuliwa wakiwa Kanisani (Mji wa Essakane) ikiwa ni mwendelezo wa machafuko yanayotokea Burkina Faso. Inadaiwa waliofanya shambulizi ni sehemu ya Makundi ya...
  2. JanguKamaJangu

    Waumini 15 wa Kanisa Katoliki Nchini Burkina Faso wauawa katika shambulio la kigaidi

    Raia 15 waliuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye kanisa katoliki wakati wa ibada ya Jumapili kaskazini mwa Burkina Faso, afisa kwenye kanisa hilo alisema. “Tunataka kuwafahamisha kuhusu shambulio la kigaidi ambalo lililenga jamii yetu ya kikatoliki katika kijiji...
  3. MK254

    Kumekucha: Kamanda mkuu wa Hezbollah na makamu wake wauawa na IDF

    Hawa Hezbollah wamekua wakionywa kila siku kwamba Israel siku ikiamua kuanza kutembeza kichapo, watajutia, yaani mpaka sasa ifahamike Israel haijaanza chochot cha maana pale ila wamefaulu kumuua hadi kamanda mkuu na makamu wake.....siku wakianza mtakwenda kushtaki ICJ Jamaa wamewahishwa kwa...
  4. MK254

    Viongozi 4 wa jeshi la Iran wauawa kwa sumu Syria

    Jamaa wanajua wanawindwa na Israel halafu wanakula kula hovyo hovyo, haya wamewahishwa kwa mabikira.... The poisoning appears to have targeted the leadership, as all four of those killed have been described as commanders or leaders. Several others were reported injured in the event, including...
  5. S

    Command centre ya Hezbollah yasambaratishiwa mbali, yafichua IDF

    Wanaume kazini. ========== The IDF says it has hit a Hezbollah "command centre" in Lebanon in retaliation for strikes towards Israeli territory. An Israeli fighter jet carried out the strike in the town of Blida in Lebanon. "Earlier today, numerous launches were identified from Lebanon...
  6. MK254

    Houthi wajaribu kuteka meli, wauawa 10 na jeshi la Marekani

    Hawa jamaa walidhani kila siku itakua sikukuu At least 10 Houthi rebels were killed today and two wounded when US forces struck their boats in the southern Red Sea, two sources at Yemen’s Hodeida port say. The US military earlier said it had destroyed several small boats operated by the...
  7. sky soldier

    Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

    Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba...
  8. sky soldier

    Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea Christmas

    Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria source >>...
  9. Ritz

    Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

    Wanakumbi. VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸 Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine. Wiki...
  10. MK254

    Magaidi wanne wa Hebollah wauawa na IDF, pia wanajeshi wa Lebanon wapigwa

    Israel imeshaonya Hezbolla, wakiendelea na uchokozi watasababisha huko walipo pia kufanywe shamba.... Three Lebanese soldiers were lightly injured Friday by Israeli shelling in southern Lebanon, medical sources said, while the Lebanese army reported no casualties in a second attack on a...
  11. benzemah

    Watu wawili wauawa kwa kuchinjwa kisa wivu wa mapenzi

    Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba...
  12. MK254

    Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

    Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas. The Flotilla 13...
  13. B

    Uhalifu siku zote hauna faida: Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo

    Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo AFPCopyright: AFP Wanajeshi wa Uganda Pamoja na wenzao wa DR congo wamefanikiwa kumuua kamanda mmoja wa kundi la ADF pamoja na wapiganaji wengine watatu kwa mujibu wa mamlaka siku ya Ijumaa kwa mujibu wa mtandao wa The Monitor nchini humo...
  14. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini: Watu watano wauawa katika ghasia za mgomo wa taksi Cape Town

    Mmmoja wa waliopoteza maisha katika mgomo huo unaohusisha maandamano ni raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40 ambaye familia yake inaungwa mkono na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza. Maderava wa taksi aliitisha mgomo huo wakidai kuna mbinu nzito zinazofanywa na mamlaka za kuharibu biashara...
  15. JanguKamaJangu

    Pakistan: Watu 44 wauawa kwa Mlipuko katika mkutano wa siasa

    Polisi imesema mlipuko huo umetokana na bomu la kujitoa mhanga lililotokea Kaskazini Magharibi mwa Pakistan Zaidi ya 100 wamejeruhiwa kati yao 17 hali zao ni vibaya, katika shambulio lililowalenga Wanachama wa chama cha Jamiat Ulema-e-Islam-Fazl (JUI-F) katika Mji wa Khar, karibu na mpaka wa...
  16. JanguKamaJangu

    Uganda: Watoto zaidi ya 40 wauawa katika shambulizi

    Mauaji hayo yametokea katika Mji wa Mpondwe uliopo Magharibu mwa Uganda ambapo pia watu sita wametekwa nyara na wanamgambo wa vikundi vya waasi wanaodaiwa kufanya shambulizi hilo. Shambulii hilo limetokea katika Shule ya Sekondari ya Lhubirira ambapo baadhi ya waliouawa wamekatwakatwa kwa...
  17. JanguKamaJangu

    Wanajeshi 7 wa Niger wauawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini

    Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema. Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo. Gari lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu...
  18. MK254

    Magaidi 60 wenye itikadi za kidini wauawa Somalia

    Wamewahishwa kuleeee. ========= The Somali National Army (SNA) says it has killed dozens of Al-Shabaab fighters in a morale boost against the militant group. Haradhere District Commissioner Mohamed Yusuf Kulmiye said that the SNA had received information about the movement of Al-Shabaab...
  19. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini: Watu 10 wa Familia Moja Wauawa kwa Risasi

    Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu. Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
  20. JanguKamaJangu

    UN: Raia 150 wauawa nchini DRC katika mapigano wiki mbili zilizopita

    Mapigano katika jimbo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la Ituri yalisababisha vifo vya zaidi ya raia 150 katika wiki mbili zilizopita, Umoja wa mataifa ulisema Jumanne. Jimbo la Ituri na jimbo jirani yake la kusini la Kivu Kaskazini zimekumbwa na ongezeko la machafuko kati ya...
Back
Top Bottom