Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu.
Mji huo umekuwa na matukio hayo, makundi tofauti yanapigana ili kutawala, hali inayolalamikiwa na...
Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Filemon Makungu (wa pili kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na kuuawa kwa watu wawili na wengine sita kujeruhiwa na wafugaji katika kijiji cha Mvinza wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma.
Watu wawili wamekufa na wengine 6 kujeruhiwa baada ya watu...
UPDATES:
Polisi wamethibitisha kuwa mwili wa Damien Sanderson, mmoja kati ya washukiwa wawili waliohusika na mauaji siku ya Jumapili huko Saskatchewan umepatikana katika eneo la James Smith Cree Nation.
Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, washukiwa hao wawili ni ndugu na tahadhari imetolewa kuwa...
Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera yenu....vizazi vijavyo vitasoma kwenye historia namna mashujaa mlipambana na kumfukuza...
Machafuko mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi katika siku tatu, vyanzo vya kijeshi na vya eneo hilo vimesema Jumapili.
Zaidi ya makundi ya wanamgambo 120 yamesambaa mashariki mwa DRC, na kuna mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya raia...
Shambulizi la risasi katika Mji wa Cetinje Nchini Montenegro limesababisha vifo vya watu 11 kati yao Watoto wakiwa ni wawili wa miaka 8 na 11.
Taarifa ya Polisi inasema mtuhumiwa wa shambulizi hilo alitumia bunduki ya kuwindia wanyama kwa kuishambulia familia iliyopanga katika nyumba yake...
Mashambulizi yaliyofanywa na ndege isiyo na rubani na mizinga yameua Wanajeshi 42 Nchini Mali katika shambulizi la Waasi Nchini humo.
Serikali ya Mali imesema katika shambulizi hilo lililotokea katika Mji wa Tessit Wanajeshi 22 walijeruhiwa.
Mara ya mwisho Mali kupata pigo kubwa kama hilo ni...
Watoto wanne na Wanamgabo kadhaa wa Palestina wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyotokea Ukanda wa Gaza ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa mashambulizi kutoka kwa vikosi vya Israel.
Israel imeonya kuwa mashambulizi yake hayo yanaweza kuendelea kwa muda wa wiki moja, ambapo...
Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali.
Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale...
Watu watano wameuawa, wakiwemo watoto wanne ambao walichomwa moto hadi kufa, na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo, ambao pia waliteka nyara watu wengine kadhaa katika shambulio mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Shambulio hilo la Waasi wa Alliance Democratic Forces (ADF) limetokea...
Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema.
Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema.
Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
Watu wenye silaha wameshambulia na kuua watu 14 mapema leo, ikielezwa 12 walifariki papo hapo na wawili walipoteza maisha baada ya kufikishwa Hospitalini kwa matibabu. Vilevile, watu wengine 10 wamejeruhiwa
Kamishna wa Polisi Gauteng, Elias Mawela amethibitisha kutokea tukio hilo akisema...
Watu 9 wameripotiwa kuuawa katika kliniki baada ya kundi la watu kushambulia Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), washukiwa wa kwanza wakitajwa kuwa ni Wanamgambo wenye masimamo mkali kutoka Kundi la ADF
Kundi hilo ni kutoka Uganda limekuwa likifanya harakati zake katika misitu...
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
Inadaiwa kuwa zaidi ya watu 100 wengi wakiwa ni kutoka jamii ya watu wa Amhara wameuawa katika eneo la Oromia Nchini Ethiopia,
Takwimu hizo ni kwa kujibu wa shuhuda wakati ambapo shuhuda mwingine amesema kuwa ameshuhudia zaidi ya miili 200 katika mauaji hayo. Serikali ya Oromia imekiri kutokea...
Imeelezwa Wanamkambo 67 wa Al-Shabaab wameuawa katika mapigano katika Mji wa Galgaduud Nchini Somalia dhidi ya Wanajeshi wa Somalia.
Waziri wa Habari wa Jimbo la Galgaduud, Ahmed Shire amesema katika mapigano hayo Wanajeshi walimkamata mshambuliaji wa kujitoa mhanga ambaye alikuwa akipanga...
Watu 50 wameuawa katika shambulizi la vikundi vya waasi katika Jimbo la Seno Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo washambuliaji hao wamehusishwa kuwa na uhusiano na vikundi vya Al-Qaeda na ISIL (ISIS).
Msemaji wa Serikali ya Burkina Faso, Lionel Bilgo amesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka...
Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini....
A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend.
Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.