Habari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta.
Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo.
Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile...
Wapiganaji wenye uhusiano na Al-Qaeda na ISIL wameua watu 47 ambao 14 kati yao ni wanajeshi.
Mauaji hayo yametekelezwa baada ya wapiganaji kuvamia mji wa Arbinda.
Hata hivyo wapiganaji wa serikali walifanikiwa kuwaua waasi 16 katika mapigano hayo.
=====
In an attack near the northern town of...
Tabora. Watoto wawili wenye umri wa miaka kumi na mbili wameuawa na miili yao kuzikwa ndani ya nyumba baada ya kurubuniwa na kuchukuliwa ng'ombe walizokuwa wanachunga.
Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki eneo la Ndala wilayani Nzega usiku wa kuamkia jana Jumapili Julai 11, 2021.
Kamanda wa...
Takriban watu 38 wamefariki dunia kwa kupigwa na radi ambapo 11 kati yao walikuwa wakipiga picha (Selfie) katika jengo la Kitalii la Amber Fort wakati mvua inanyesha
Katika matukio mengine, watu 18 walifariki kwa radi huko Uttar Pradesh ambapo imeelezwa wengi wao ni Wakulima. Pia, Polisi...
Wapiganaji 18 wa Al-Shabaab ambao walihukumiwa kifo, wameuawa Juni 27 katika Galkayo Jimbo la Puntland nchini Somalia.
Wapiganaji hao walihusika na mauaji ya watu muhimu wa nchi hiyo yakiwemo mlolongo wa matukio ya mauaji na ulipuaji katika maeneo ya Galkayo na Mudug.
Mwenyekiti wa Mahakama ya...
Wapiganaji wenye silaha wanaodhaniwa kuwa wa Jihadi wamewaua takriban watu 138 kaskazini mwa Burkina Faso, katika shambulio linalotajwa kuwa baya zaidi kushuhudiwa tangu mwaka 2015.
Rais wa taifa hilo, Roch Marc Christian Kabore amelaani shambulio hilo akiliita la kishenzi na lililofanywa kwa...
Mamlaka katika eneo la Gaza zimesema takriban Wapalestina 36, wakiwamo watoto 10 wamefariki kutokana na mashambulio ya maroketi kutoka Israel, huku wengine 250 wakijeruhiwa siku ya Jumatano.
Mashambulizi haya ni ya hivi karibuni zaidi yanayoongeza mvutano ulioanza baada ya Hamas kuvitaka...
Watu wawili waliotoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais wameuawa baada ya kukamatwa wakidaiwa kuiba vitu mbalimbali huko kwa Mathiasi mjini, Kibaha mkoani Pwani.
Watu hao walifungwa kwa makosa ya wizi katika kesi ya jinai namba 273/2020 na 260/2020 na walipata msamaha wa Rais wa...
Wanamgambo wanaosadikika wa kundi la Jihad wamevamia kijiji mashariki mwa Burkinafaso na kuua wanakijiji wanaokadiriwa 30.
‘Kundi kubwa la watu wenye silaha lilivamia kijiji cha Kodyel jimbo la Komandjari jumatatu asubuhi na kufanya shambulio liligharimu maisha ya watu wanaokadiriwa kufikia 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.