Watu wanne wameuawa baada ya Mtu mmoja kufyatua risasi Hospitalini huko Tulsa, Oklahoma. Polisi imesema Mtuhumiwa naye amefariki dunia kutokana na majeraha ya risasi ambayo inaaminika alijipiga
Matukio na kushambuliwa kwa risasi yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni Nchini humo...
Inadaiwa kuwa 50 wameuawa kwa mashambulizi yaliyotokea Mei 22, 2022 katika Mji wa Rann kwenye Jimbo la Borno Nchini Nigeria katika eneo la karibu na mpaka wa Cameroon.
Tangu mwaka 2009 Jimbo la Borno limekuwa likikabiliwa na mashambulizi ya vikundi ikiwemo Boko Haram. Mamilioni ya watu wamehama...
Wanawake watano Wilayani hapa wameuawa kikatili na watu wasiojulikana huku watatu kati yao wakikutwa sehemu zao za siri zimenyofolewa.
Mauaji hayo yamefanyika katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita, hatua ambayo imesababisha wananchi kuingiwa na hofu juu ya usalama wao.
Akizungumza na...
Watu sita wameuawa katika mlipuko uliotokea katika mgahawa Jijini Mogadishu ambao ulikuwa ukitumiwa na askari Polisi na Wabunge, Ijumaa Aprili 22, 2022
“Watu wengine saba wamejeruhiwa kutokana na mlipuo huo,” amesema Abdikadir Abdirahman, Mkuu wa Gari la Wagonjwa.
Aidha, mteja aliyekuwa eneo...
Takriban watu sita wakiwemo wanafunzi wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa baada ya milipuko miwili kulenga shule ya wavulana katika kitongoji cha Dasht-e-Barchi katika mji mkuu wa Afghanistan, msemaji wa polisi wa Kabul amesema.
Khalid Zadran aliliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumanne...
Zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Vikundi vya Jihadi, Aprili 11 na 12, 2022, Kaskazini Mashariki mwa DR Congo, Shirika la Msalama Mwekundu limetoa taarifa hiyo.
Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) ni moja ya makundi yenye silaha, waliwashambulia watu katika...
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (UN-OHCHR) limeripoti raia 1,417 kuuawa tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine, Raia wengine 2,038 wamejeruhiwa
121 kati ya waliouwa ni Watoto. UN-OHCHR imesema idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa kuliko iliyoripotiwa.
===
As of...
Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova.
Ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kwamba pamoja nao waandishi wengine 10 wamejeruhiwa wakati wa mapigano hayo...
Wanajeshi wa Kenya ni sehemu ya walinda amani wa wa AU nchini SomaliaImage caption: Wanajeshi wa Kenya ni sehemu ya walinda amani wa wa AU nchini Somalia
Zaidi ya wanajeshi 10 wa Kenya wameuawa katika shambulio la kilipuzi kilchotegwa kando y abarabara kusini mwa Somalia.
Wengine watano...
Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema.
Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji viwili vya mkoa wa Tillaberi.
Magharibi mwa Niger - kama vile nchi jirani za Mali na Burkina Faso...
Jeshi nchini Mali limesema wanajeshi wake wanane wameuawa na watano hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na waasi katika eneo la Kaskazini-Mashariki la Archam.
Mapigano hayo yanakuja siku chache baada ya Ufaransa na washirika wake kusema kuwa wanaondoa vikosi vyao kutoka Mali.
Taarifa ya...
Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu.
Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
Watu wawili, Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) wakazi Makambako Mkoani Njombe wamekutwa wamefariki katika msitu wa Tanwat uliopo Njombe huku uchunguzi ukibainisha kuwa wameuawa na Mganga wa Jadi baada ya Watu hao waliokuwa Wateja wake kugundua dawa za kuwa Matajiri walizopewa...
Wakimbizi zaidi ya 50 wameuawa usiku wakuamkia leo Jumatano katika kijiji cha Ngujona wilayani Djugu katika mkoa wa Ituri. Yamefanyika wakati juhudi zinaendelea za kuwahamasisha waasi kuzisalimisha silaha zao
Akizungumza na DW kwa njia ya simu, kiongozi wa utawala wa Bahema Badjere Jean-Richard...
Watu watano wa familia moja wameuawa na watu wasiojulikana katika eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amebainisha kuwa Jeshi hilo linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo.
Chanzo: Radio One...
Uganda inasema kwamba washukiwa saba wameuwawa na wengine 106 wanashikiliwa kutokana na matukio ya kigaidi.
Hayo yametokea wakati wa oparesheni iliyofanywa na vikosi vya usalama wakihusishwa na washukiwa watatu wa mabomu ya kujitoa muhanga katika mji mkuu Kampala wiki iliyopita, kwa mujibu wa...
Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador.
Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil inasemekana zilianza Ijumaa jioni.
Ripoti zinasema Polisi ambao wameingia kwenye majengo ya magereza wamekuta bunduki na vilipuzi.
Zaidi ya wafungwa 100...
Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali
Serikali imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni Meya pamoja na Kiongozi wa Wanamgambo. Hakuna kundi ambalo limetangaza...
Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo
Tangu Desemba 2020, ukanda wa Kaskazini magharibi mwa Nigeria umeshuhudia wimbi la matukio ya utekaji nyara wa Watoto...
Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi.
Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.