Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby.
Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati.
Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya...
Habari wakuu,
Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo
Usomaji wa matangazo ya week,
Kwa dunia ya...
Vyama vya siasa, hasa vyama tawala katika nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania, hutumia mbinu nyingi za hadaa kuwashawishi wananchi na waumini wa demokrasia ili waendelee kushikilia madaraka na kulinda maslahi yao. Hapa ni baadhi ya mbinu wanazotumia:
1. Kutumia Ahadi za Uongo Wakati wa Kampeni...
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi.
Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sabato Njema. (itikia Njema Sana).
Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya...
“Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao ni kuombea roho za Waumini wao tu, wajiulize je miili ya Waumini wao ipoje, wahangaike na njaa ya...
Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu.
Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi...
Duniani kuna Wachungaji wa aina mbili, wema na wabaya
Wachungaji wema mara zote wanahubiri habari njema za Mungu, mara zote wanaeneza Upendo, Amani, Mshikamao na kupigania utulivu ndani ya mioyo ya Wanadamu wote
Wachungaji Wema sifa zao kubwa wanakuwa ni wasomi wa hali ya juu na wanaoendesha...
Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅
Wanasherehekea kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo kwa mujibu wa Kalenda yao ya Orthodox!
Ethiopia...
🔘 Siku hizi waumini hatutaki INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa;
✓Acha umalaya ni dhambi.
✓ Acha kudanga ni dhambi.
✓ Acha wizi ni dhambi.
✓ Acha uchawi ni dhambi.
✓ Acha kutoa mimba ni dhambi.
✓ Acha pombe ni dhambi.
✓ Acha rushwa ni dhambi.
✓ Acha ushoga na usagaji ni dhambi.
✓ Acha kubaka watoto...
Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka.
Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu
Utumishi wa Mungu ni Nini
Utumishi ni hali ya kutii na kuitumikia mamlaka au mtu mwenye mamlaka fulani na ambaye unamwamini na kumtegemea. Katika muktadha huu tunakuta kuna watumishi wa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utumishi...
Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo
Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa?
Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa 11 kasoro but now days naona mambo ni tofauti
Adhana inaanza saa Tisa na nusu, then saa kumi...
Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie ameweka wazi kuwa ametoa magari takriban 200 kwa waumini wake kama sehemu ya kuwasaidia kiuchumi na kiimani. Akizungumza katika mahojiano na Salim Kikeke, alisema kuwa magari hayo hayahitaji matangazo yoyote ya wazi, bali waumini wanaohitaji huambiwa wapi waende...
Lakini pia niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na kamwe msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini, wanadamu ni wanadamu hatujazaliwa tumbo moja na hata wanaozaliwa tumbo moja wanatofautaiana…”- Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Huku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake.
Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero.
Ukisalimu mtu kwa salamu ya kiimani hakikisha unajuwa imani ya mtu huyo ili wakati mwingine kupunguza kumkwaza mtu...
Nafahamu kwamba suala la uumini au dini ni pana, kuna baadhi ya mambo kulingana na Katiba yetu na miongozo mbalimbali Serikali inaweza kufungwa mikono kuyaingilia moja kwa moja, lakini kuna uwezekano kwenye baadhi ya vitu Serikali haifungwi mikono kuviingilia hususani suala la usalama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.