Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada.
Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok, mchungaji huyo alionekana akiiangalia kwa dharau sadaka hiyo. Wakenya walioshuhudia video hiyo...
Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
Kumekuwa na tabia sugu ya viongozi wengi wa Dini kusoma aya zinazohamasisha tu kutoa SADAKA.
Lakini pia wamekuwa wakibuni mbinu za kila aina za kuwakamua Waumini wao Makanisani.
Mambo ya ovyo yanayofanywa na viongozi wengi wa serikali hawana habari nayo kwa sababu wao wanashibishwa kwa...
HAYA NI MATUKIO MAWILI TOFAUTI YALIYOTOKEA WIKI ILIYOPITA
Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu
Chanzo mwananchi 17th May 2024
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
. Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri...
Ushainaa unatoa sadaka na michango kwa ajili ya ujensi wa shule lakini unashindwa kusomesha mwanao, Hii ndioo kichekeshoo kinachoendeleea yaan ada zao kama awataki mtu kusoma hapo.
Ushauri tu kwa KKKT mkumbuke n michango ya waumini kuwafikisha hapo mlipo na aim ni kusaidia waumini wenu kama...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti.
Kisha...
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar), Mhe. Amina Ali Mzee ameongoza semina ya mafunzo ya kutumia gesi kupikia na amewataka wajasiriamali kutumia nishati safi ya kupikia (gesi) ili kurahisisha shughuli zao za kujikomboa kiuchumi.
"Tunaelewa lengo kuu na Dira ya...
Licha ya Biblia kuonesha wazi umuhimu wa huduma ya unabii bado huduma hii inapitia changamoto kubwa za ndani kuliko nje. Kutokana na uchunguzi nilioufanya katika makanisa matano ya kiroho katika mikoa miwili (Dar es Salaam na Geita) nimeweza kuona upinzaji mkubwa sana kihuduma kati ya manabii...
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuhu.tupo katika mwezi bora katika miezi bora ile 4 katika uislam.kuna jambo napenda kuwakumbusha leo ambalo tumejisahau.
Kuna shule nyingi za za Islamic secondary zinawanafunzi wenye uhitaji wa FUTARI NA DAKU. Wanafunzi hawa wanapaswa kukumbukwa sana katika...
RUKWA: Mahakama Kuu, Kanda ya Sumbawanga imewaachia huru Wachungaji na Waumini saba wa Kanisa la Watch Tower Wilayani Kalambo waliohukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kuzuia Watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kupewa chanjo ya Surua.
Imefahamika hukumu iliyotolewa kwa...
Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, Mhe. Masache Kasaka amewasihi waumini wa dini ya kikristo kusoma maandiko ya kibiblia na kuyatendea kazi ikiwemo agizo la kutii wenye mamlaka na kuwaombea kama viongozi wa dini na Serikali.
Mbunge Masache amepata nafasi ya kutoa nasaha...
Raia 15 waliuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye kanisa katoliki wakati wa ibada ya Jumapili kaskazini mwa Burkina Faso, afisa kwenye kanisa hilo alisema.
“Tunataka kuwafahamisha kuhusu shambulio la kigaidi ambalo lililenga jamii yetu ya kikatoliki katika kijiji...
Mungu ni msimulizi hodari wa historia za manabiii wake ambao walishindwa kuandika sheria za mungu ila wanafunzi ndiyo msingi wa kusimama dini hizi, ila naogopa sana kwani maisha ya mitume tumeyapata kutoka katika hadith zilizogawanywa kwa watu tofauti na vipo vitabu vya wafuasi wa karibu wa...
Wanabodi, Asalaam Aleikhum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, Shalom.
Ama baada ya salaam nilejee kwenye mada yangu ya siku ya leo ambayo msingi wake nikuongelea hizi zinazoitwa shule za madhehebu mbalimbali ya dini hususani Wakristo.
Tuwapo makanisani tumekuwa na michango na harambeee...
Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC.
Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea shutuma mbalimbali kutoka kwa wananchi kwamba amekuwa akiwakamua waumini hela zote hadi wanakosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.