waumini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    Hawa waumini wana imani kali sana

    Mambo ya upako hayo.
  2. EvilSpirit

    Hili kanisa sijui lina waumini wangapi

    Naona mabenchi matatu tu.Sijui waumini wanakuja na mabenchi yao Mvua ikianza kunyeshq bila shaka na ibada inaishia hapo hapo,otea makanisa ya design hii huwa yanapatikan wapi?
  3. chiembe

    Je, ni kweli kanisa la friiichachi limemtoa kafara Katibu wake ili Sasa lianze kujaa waumini?

    Kuna tetesi kwamba Kuna mtu kafa, na alikuwa Katibu wa kanisa Hilo,habari zinasema alikuwa anakula vya madhabahuni, palepale katika lango la kanisa anapopitia mchungaji. Habari zinasema ni makafara makubwa yanayotokana na masharti ya waganga wa naijeria na afrika magharibi ili kanisa like na...
  4. MK254

    Bomu laripuka kwenye msikiti kule Afghanistan na kuua mkuu wa dini na waumini wengine

    Hawa nao sijawahi kuelewa sababu zao za kulipuana huko Afghanistan wakati wote dini moja.... At least one cleric and several civilians have been reported killed in the city of Herat, despite Taliban claims they have improved security. An explosion rocked the Guzargah mosque in the city of Herat...
  5. M

    Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

    Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali...
  6. MSAGA SUMU

    Niko hapa kanisani kwa sasa wasabato nimevaa jeans, waumini wenzangu wananiona Kama Antichrist.

    Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi. Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani. Kanisa nilikuwa...
  7. sky soldier

    Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

    Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel...
  8. Lady Whistledown

    Watu 77 waokolewa Kanisani nchini Nigeria wakisubiri ujio wa mara ya pili wa Kristu

    Polisi nchini Nigeria wamewaokoa watu 77 wakiwemo watoto kutoka kanisa walimokuwa wamefungwa katika jimbo la Ondo kusini magharibi mwa nchi hiyo. Baadhi yao wanaaminika kuwa huko kwa miezi kadhaa. Msemaji wa polisi alisema wengi wao walikuwa wameambiwa kutarajia Ujio wa Pili wa Yesu Kristo...
  9. JanguKamaJangu

    Nigeria: Ashikiliwa kwa utapeli, awadanganya waumini wakavunja misikiti yao

    Misikiti 14 katika Jimbo la Jigawa imeathirika kwa kuvunjwa katika Jimbo la Jigawa Nchini Nigeria baada ya wakazi kuahidiwa kujengewa misikiti mipya mikubwa lakini mtoa ahadi akakimbia. Mtuhumiwa huyo, Abba Haruna mwenye umri wa miaka 21, aliwaambia Wanakijiji kuwa taasisi ya kigeni ingejenga...
  10. J

    Huyu mchungaji anayedharau walimu na kudhalilisha waumini akemewe

    Nimeona video ya huyu dada ambaye anaonekana kuwa ni mchungaji akiwa anahubiri kanisani. Jambo lililonisikitisha ni kitendo cha kudharau taaluma ya ualimu hasa walimu wa kike wa shule za Msingi. Kiongozi ni kioo cha jamii hivyo inatarajiwa kuwa maneno unayoyatoa yatakuwa ya kujenga na si...
  11. Jidu La Mabambasi

    Serikali iwachukulie hatua hawa Maaskofu wa KKKT kwa kuleta fujo katika Jamii ya waumini

    Hii sasa ni hatari kwa mustakabali wa amani nchini. Inavyoonekana kuna kikundi cha Maaskofu ambao wameamua kuleta ufarakano ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Tanzania-KKKT. Hili kundi yumo Askofu Bagonza wa Karagwe Askofu Mwaipopo wa Jimbo La Ziwa Tanganyika, Sumbawanga Na sasa amengia...
  12. karv

    Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

    Habari za wakati huu wapendwa Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki. Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoliki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa...
Back
Top Bottom